waziri wa michezo kwa mabingwa wa Khomasi wa kisasa ……nchi inaunga mkono mabingwa wake wa kichezo na mfumo wa kichezo lengo lake ni upatikanaji mazingira mazuri kwa wachezaji.
- 2019-08-20 16:50:19
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alisisitiza
kwamba nchi hakubahili kwa juhudi yoyote kuunga mkono mabingwa wake wa
kimichezo katika michezo tofauti hasa wajumbe wa timu ya kitaifa ambao
wanaagiza na kuinua jina la Misri juu katika sheria na tukio tofauti ya kichezo
ya bara;dunia na Olimpiki ikiwa kutoka kuunga mkono ya fedha au mahali .na hilo
lilikuwa kupitia na mkutano uliyofanikiwa na waziri wa vijana na michezo siku
ya jumamosi asubuhi na wachezaji wa Khomasi wachanga wa kisasa kwa timu ya
kitaifa na alihudhuria mwenyekiti wa kamati ya Olimpiki ya kimisri mhandisi
Hesham Hatb na mwenyekiti wa Muungano wa kimisri kwa wachezaji wa Khomasi wa
kisasa mhandisi Sherifa Al-Eryan na wajumbe wa baraza la Muungano(wajumbe wa
vifaa vya kifundi na utawala kwa
Muungano).
waziri wa michezo akieleza kwamba kuunga mkono ambaye
ilipatia na wizara ya vijana na michezo kwa Khomasi wa kisasa kwa njia na
maandalizi hasa kwa kikao cha kiolompiki nchini tukio mwaka 2020 kupitia na
mwaka huo ilifika kwa bilioni 9 na hii ni zaidi kwa mwaka uliopita .
Alibainisha kwamba wizara ina hamu kuunga mkono timu yoyote
kupitia na uwezo upatikanaji kupitia na utawala ambayo inazingatia kwa kanuni
za utawala kwa kiakili;kisayansi na uwazi ambayo inafanya rasilimali ya
upatikanaji ni kubwa sana ili tekeleza malengo hasa kwa kuendelea mfumo
kimichezo kuenea msingi ya kufanywa michezo na kufika kwa kiwangu cha Dunia
katika kushinda kwa ubingwa na kupata nishani.
Alisisitiza pia kwamba wajumbe wote wa mfumo wa kichezo
kuanza kwa kilabu na kituo cha vijana na Miuungano ya kichezo na kamati ya
olimbi na wizara ya vijana na michezo zinafanya kwa ajili ya kuunga mkono
bingwa wa kichezo ambaye ni balozi sio kwa mchezo wa kimisri tu bali kwa vijana
wa kimisri ambao wana uwezo inayoandaa kuinua bendera ya Misri;nchi kubwa na
adhimu zaidi ya nchi nyingine katika historia ya utu.
Comments