Katika mfumo wa wiki ya Ndugu .. Wizara ya Vijana na Michezo inaandaa ziara kwa ujumbe wa vijana wa Morocco kwa Piramidi za Giza.

Wizara ya Vijana na Michezo iliandaa tembelea kwa Piramidi ya Giza, Ujumbe wa vijana wa Ufalme wa Moroko , katika mfumo wa matukio ya wiki ya udogo wa wamisri-Moroko, ambayo inatekelezwa na Wizara kupitia Idara kuu ya Programu za Kitamaduni na za Hiari na Idara kuu ya Mahusiano ya Umma na ya nje,na shughuli zake zinaendelea  hadi 25 Agosti 2019 huko Kairo na Alexandria.

 

Ujumbe wa Ufalme wa Moroko ulitembelea katika eneo la Piramidi ya Giza maajabu makubwa zaidi ya ulimwengu, na ulisikia maelezo ya kina ya historia ya eneo hili na vitu vya kale cha muhimu zaidi, ambapo waliona piramidi tatu, na eneo la panorama.

 

Wakati wa kutembelea kwao kwenye piramidi huko Giza, vijana wa Morocco walitambua historia kale ya kimisri, familia muhimu zaidi za farao, vitu vya kale muhimu zaidi ya Farao, Na vitu ambavyo vinajulikana ustaarabu wa Wamisri waliokuja nyuma maelfu ya miaka, ujumba wa Morocco ulitazama Abu Alhawl Sanamu za zamani zaidi zinazojulikana.

 

inayotajwa kuwa Wizara ya Vijana na Michezo ilikuwa imepokea ujumbe wa vijana kutoka Ufalme wa Morocco, katika mfumo wa kukuza na kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili kupitia vijana, na utekelezaji wa mpango wa utendaji na ushirikiano katika uwanja wa vijana kati ya Wizara ya Vijana na Michezo ya Misri na mwenzake wa Morocco.

Comments