Timu ya Nigeria ya mpira wa mikono imesherehekea kutawazwa kwa Misri kwa mashindano ya vijana.
- 2019-08-21 12:39:32
Wachezaji wa
timu ya Nigeria wamehakikisha kuhamia timu ya Misri ya vijana ya mpira wa
mikono na imeshinda timu ya ujerumani 28-32 ili kutawazwa na kombe la Dunia la
vijana wa mpira wa mikono chini ya mwaka 19 iliyofanyika sasa hivi katika
Makdonia.
Wachezaji wa
timu ya Nigeria baada ya kutawazwa kwa timu ya misri na kombe la Dunia nchini
makdonia wamepata furaha kubwa na kucheza dansi.
Timu ya
Nigeria iliyoaga michuano toka duru ya kwanza baada ya kupata nafasi ya mwisho
ya kundi la tatu la ubingwa wa Dunia wa mpira wa mikono wa vijana imeunga mkono
timu ya Misri kupitia makubaliano mawili ya Mafarao katika mashindano ya nusu
ya finali na finali ya kombe la Dunia la mpira wa mikono wa vijana.
Kuwepo kwa
timu ya Nigeria katika viwanja vya michezo ya mashindano ya misri mbele ya
portoguse katika mashindano ya nusu ya finali kuunga mkono kwa Mafarao
kumedhihiri Wakati wote. Wanabeba bendera za Misri na wanawahamia kwa
makubaliano yote ambayo timu ya misri imeitatua kwa manufaa yake na kustahili
kwa mashindano ya mwisho.
Kuwepo kwa
timu ya Nigeria katika mashindano ya timu ya Misri kunarudia Tena ambapo
uungaji mkono wao umedhihiri mara Tena kupitia makubaliano ya mwisho kati ya
Misri na Ujerumani.
Timu ya Misri
ya vijana imetawazwa na ubingwa wa Dunia wa mpira wa mikono kwa mara ya kwanza
baada ya kushinda ujerumani kwa tokeo la 28_32 katika mashindano ya mwisho
ambayo imefanyiwa Kati Yao nchini makdonia.
Kutawazwa kwa
timu ya vijana ya mpira wa mikono imezingatiwa kazi mpya inayoongezwa kwa mpira
wa mikono wa Misri baada ya timu ya vijana kupata nafasi ya tatu ya Dunia
katika Michuano iliyofanyika mwezi wa saba uliopita nchini Hispania.
Baada ya
mwisho wa mashindano ya timu ya Misri na Ujerumani, timu ya Nigeria
imesherehekea kwa ushindi wa kihistoria wa Mafarao kwa Ujerumani na kutawazwa
kwa ubingwa wa Dunia wa vijana.
Comments