Faida nane kwa Misri baada ya kushinda kwake katika uandaaji wa michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika

… kuwa wazi katika kuimarisha mahusiano ya mataifa ya bara la Afrika pamoja na kuhakikisha siasa za kuwa wazi … ujumbe wa amani na usalama pamoja na kutangaza utalii … kufungua mlango wa uchezaji wa kulipwa. urudishaji wa mashabiki na kupata lakabu la kiafrika.

Leo,Jumanne,katika mji mkuu wa Sengali  Dakar  umoja wa kiafrika wa mpira wa miguu  "Caf" umetangaza kushinda kwa Misri  katika uandaaji wa kombe la mataifa ya kiafrika mwaka 2019. Na hayo yamekuja baada ya kuiondoshea Kameruni uandaaji wa michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika kwa sababu ya kuchelewa kwa kusimamisha miundombinu na viwanja pamoja na utete wa  kiusalama.

 Yafuatayo yanaonesha faida muhimu zaidi ambazo Misri ilizipata kutokana na uandaaji wa michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika. Mwendesha mashtaka,mjumbe wa tume ya maswala ya kiafrika ya baraza la wabunge, Hesham Magdi, amesisitiza kwamba  Misri  ina uwezo wa kuandaa kwa michuano ya  kombe la mataifa ya kiafrika. Na kama pia kwamba kushinda kwake kwa michuano hii kutakuwa na matokeo makubwa nchini humo katika kipindi kijacho.  Mwendesha mashtaka, katibu mkuu wa tume ya habari na ya utamaduni ya baraza la wabunge, Nadar Mostapha, amesema kwamba kuandaa kwa Misri kwa michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika kutakuwa na faida kadhaa khasa kwa sasa kwa sababu ya kutilia umuhimu wa Kairo kuzungumza na nchi za kiafrika. Na hayo yanaweza kutimia kutokana na mpira wa miguu. Ambapo njia hii inazingatiwa kuwa ni miongoni mwa njia muhimu za kuhakikisha  lengo hili.

Katibu mkuu wa tume ya habari na ya utamaduni ya baraza la wabunge, amesema kwamba Raisi, EL-SISI, anatilia umuhimu  kwa sasa kuimarisha  mashirikiano  na  nchi za  kiafrika.

Ambapo kuandaa kwa Misri kwa mashindano ya kombe la mataifa ya kiafrika  kunahakikisha  lengo la uongozi wa kisiasa  kutokana  na  kuzidisha  mahusiano  kati ya pande mbili ( Misri na Afrika).

Vile Vile amesema kwamba Misri imefanikiwa kuboresha  mahusiano yake na  bara la Afrika  kwa kiwango kikubwa.Na  ameongeza  kwamba kuandaa kwa Misri kwa mashindano kama hayo  kutakuwa na  umuhimu mkubwa. Ambapo kutaiwezesha Misri  kuongoza  bara la Afrika. 

Comments