Waziri wa Michezo kutoka Morocco ... Ujumbe wa Wamisri ulichukua hatua kwa thabiti kuelekea kufanikiwa kile kinachofurahisha watu wamisri
- 2019-08-21 12:45:09
Waziri wa
Vijana na Michezo Ashraf Sobhy alikutana na ujumbe wamisri walioshiriki katika
kikao cha michezo ya 12 ya Kiafrika kinachofanyika Morocco, ambayo inafanyika
Agosti hii 19 hadi 31, na ushiriki wa nchi 52,Misri itashiriki katika
mashindano hayo kwa ujumbe wa wanariadha 297 wanaowakilisha michezo 24
ikijumuisha michezo 22 ya Olimpiki.
Waziri wa
Michezo alisisitiza kwamba Misri inachukua hatua thabiti kuelekea kupanda juu
ya michezo ya Kiafrika, na kimataifa katika michezo mingi Ikiwa michezo ya
kibinafsi au ya kikundi, akiashiria kwamba Misri imekuwa mstari wa mbele katika mpangilio wa
mashindano ya kikiao cha michezo ya Afrika tangu mwanzo wa uzinduzi wake
inaonyesha nguvu ya timu za Wamisri zinazoshiriki kwenye mashindano ya ubingwa
na kufanikiwa medali nyingi tofauti.
Sobhy
aliwashukuru wachezaji wote, washiriki na maafisa wa ujumba wa wamisri, akitaka
kuendelea juhudi kuibuka kwa Misri kwa
muonekano unaofaa jina na sifa ya Misri.
Na katika
muktadha huo huo, Waziri wa Vijana na Michezo Ashraf Sobhy alikutana na
mawaziri wa michezo huko Morocco na Algeria na maafisa kadhaa waliosimamia
michezo katika nchi za Afrika, ambapo alionyesha jukumu kubwa la nchi ya Misri
katika kukuza harakati za michezo sio tu katika kiwango cha Misri bali kwa
kiwango cha Afrika. akiashiria kutarajia kwa ushirikiano zaidi kati ya Misri na
nchi zote za kiarabu za kidogo na za kiafrika za kirafiki, akisisitiza kwamba
ushirikiano huu uliongojea na nchi ya Misri utachangia kwa kiasi kikubwa kuunga
mkono uwanja wa michezo katika kiwango cha bara, Hasa chini ya Urais wa Misri
wa Umoja wa kiafrika.
Misri ilikuwa
imeshinda medali nane katika mashindano ya judo katika siku ya kwanza ya kikao
cha michezo ya Afrika, pamoja na dhahabu nne ilifanikiwa na
Ali Abdel
Moaty uzito wa kilo 73, Abdel Rahman Mohamed uzito wa kilo 81, Ramadhani
Darwish uzito wa kilo 100, Ali Hazem uzito wa kilo 90 , pamoja na shaba 4 kila
kwa Mohamed Abdel Mawgoud uzito wa kilo 66 kg, Lamia El Zanan uzito wa kilo 57
kg, na Abdullah Othman uzito wa 81 kg ,Misri pia ilishiriki katika mashindano
ya mpira wa wavu wa pwani kabla ya uzinduzi rasmi wa mashindano hayo.
Misri
itashiriki katika mashindano haya katika michezo ya bow ,mshale , michezo ya
nguvu ,mpira wa vinyoyoa, mpira wa kikapu 3x3, ndondi,kipera , silaha,
Kiestonia, sarakasi ,mpira wa mikono ,judo, karate ,kayaki,shuti
,kuogelea,tenisi ya meza ,Taekwondo,tenisi ya ardhi, Thulathi ya kisasa , mpira
wa wavu, mpira wa wavu ya pwani ,uzito ,mweleka,chess ,Biliadi.
Comments