Waziri wa Michezo na Rais wa Kamati ya Olimpiki kukagua makao ya ujumbe wa Misri huko Rabat katika kujiandaa na Michezo ya kiafrika.
- 2019-08-21 12:49:13
Mhandisi
Hisham Hatab, Rais wa Kamati ya Olimpiki ya Misri, na Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo,
walikagua makao ya ujumbe wa Misri katika Chuo Kikuu cha Kimataifa huko Rabat
wakati wa Michezo wa Afrika uliofanyika hivi sasa nchini Morocco.
Hatab na
Waziri walitazama mipango yote na makao
na uwezekano wote unaopatikana katika ujumbe huo na kuangalia maswala ya
matibabu.
Na alikuwa
kwenye ziara na Hatab na waziri, Mhandisi Bassel Abdallah, Mkuu wa ujumbe ya
Misri huko Morocco, Naibu Mkuu wa Ujumbe, Brigadier General Yahya Daabes,
Mhandisi Sherif Al_Arian, Katibu Mkuu wa Kamati,
DkT.Abdulaziz
Ghoneim, Mwanachama wa Bodi ya Kamati ya Olimpiki, Na Mamdouh Al-Shishtawi,
Mkurugenzi Mtendaji wa Kamati ya Olimpiki.
Comments