Waziri wa vijana na michezo na Mkuu wa shirikisho la Misri la soka watembelea eneo la kufnyika kura ya michuano ya mataifa ya Afrika N.32 .
- 2019-04-07 13:42:07
D.K.t Asharf Sobhi Waziri wa vijana na michezo amefanaya tembeleo la uchunguzi ijumaa iliyopita kwa eneo la piramidi , ambalo litshuhudia sherehe ya kufanyika kura ya Michuano ya mataifa ya kiafrika N.32.
Marafiki wake wakati ziara hiyo walikuwa; Mahandisi Hani Abu Rida Rais wa shirikisho la Misri la soka na Mkuu wa kamati ya maandalizi .
Bw Sobhi amechunguza jukwaa husika ya kufanyika kura , maingilio, mahali pa kutoka na eneo la wageni wakubwa , huko amesifu juhudi zinzofanywa na kamati ya maandalizina wasimamizi wake.
Pia Waziri wa vijana na michezo amesisitiza kuwa sherehe hiyo itakuwa ya bora zaidi katika historia ya shirikisho la Afrika la soka "Caf", inayoonesha uwezo wa kimaandalizi ya Misri kwa tukio lolote la michezo ya kimataifa .
D.K.t Ashraf Sobhi ameashiria kuwa kupanga Misri michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika N.32 itakuwa tukio la wazi kabisa linalokwenda sambamba na uongozi wa Misri kwa Umoja wa Afrika .
Waziri wa vijana na michezo ameonesha kuwa uchaguzi wa eneo la piramidi ili kufanyika shughuli za kura ya michuano , unaeleza historian a ustaraabu wa Misri , ambapo utashiriki kwa kiwango kikubwa kwenye usambazaji wa utalii wa Misri.
Bw Mohammad Fadl mkurugenzi wa michuano , Bw Ahmad Migahid mwanachama wa bodi ya shirikisho la soka, na D.K.t Mostafa Azaam msaidizi wa mkuu wa kamati ya maandalizi wote walihudhuria tembeleo la uchunguzi .
Inasemekana kwamba Misri ilishinda kuandaa michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika N.32, ambapo shughuli zake zitaanza mwezi juni ujao kwa kushiriki mataifa 24.
Sherehe ya kura itafanyika tarehe 12 Aprili ya sasa , ambapo idadi kubwa ya wabingwa wa soka barani Afrika na ulimwenguni wataihudhria.
Comments