Shirkisho la kimataifa la mpira wa miguu Fifa limechagua Refarii wa kimataifa Amin Omar kutawala mechi za kombe la dunia la vijana nchni Brazil .
- 2019-08-22 12:27:08
Shirkisho la kimataifa kwa mpira wa miguu (Fifa ) lilichagua Refarii wa kimatifa _kimisri amin omar kutawala mechi za mchuano wa kombe la dunia chini ya umri miaka 17 nchini Brazil katika kipindi cha tarehe ya 26 mwezi wa Octoba mpaka siku ya 17 mwezi wa Novemba ijayo .
Refarii wa kimataifa
na wagombea walikuwa katika orodha ya kimataifa kwa uchunguzi wa kimatibabu
asbuhi jana Siku ya jumanne ,katika kituo cha tibabu ya michezo mjini mwa Nasr
miongoni mwa maandalizi ya kamati ya Refarii kwa msimu mpya na huu kuhudhria
Khaled Masoud ni mwakilishi wa wizara ya vijana kwa tibabu ya michezo na
daktari Azb Hagag ni katibu wa kamati ya Refarii.
Na pia vipimo vya
usawa wa mwili kwa Refarii wa Dakahlia ,Domiat vilifanywa katika uwanja wa
Mansoura pamoja na ushirikiano wa Refarii 25 alifanikiwa Refarii 20 na 28
msaidizi alifanikiwa msaidizi 27 .
Comments