Waziri wa vijana na michezo anafika nchini Tunisia kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa vijana wa kiarabu.

 Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo amefikia nchi ndugu ya Tunisia, ambapo Waziri wa masuala ya vijana na michezo, Sania Ben Alsheikh amempokea katika uwanja wa ndege wa Carthage kwa ajili ya kushiriki katika awamu ya pili ya mkutano wa vijana katika eneo la kiarabu 2019, ambayo inaandaliwa na ofisi ya mataifa ya kiarabu, mfuko wa umoja wa mataifa wa wakazi na wizara ya masuala ya vijana na michezo ya Tunisia mnamo kipindi cha tarehe 20 hadi 22, mwezi huu wa Agosti.

 

mpango wa umoja wa mataifa wa maendeleo na shirika la umoja wa mataifa wa ufundishaji na kitamaduni na sayansi "UNESCO", ambapo mkutano huo ni picha ya kikanda ya kimataifa na maudhui muhimu kwa vijana katika eneo la kiarabu kwa ajili ya kushiriki na maafisa, watengenezaji wa kisiasa, watu wenye mawazo, wasanii, jamii ya kitaaluma na sekta ya kibinafsi na shirika zinazofuatia umoja wa mataifa, ili kubadilisha mawazo na kuzungumza kuhusu ajenda ya vijana katika taifa la kiarabu, na maendeleo ya mipango inayochangia katika maendeleo ya hali za vijana na kufurahia haki zao, katika ajenda ya maendeleo ya kudumu 2030 na uamuzi wa baraza la usalama 2250 kuhusu Vijana, Amani na Usalama.

 mkutano huo unakuja kwa uratibu na kamati ya umoja wa mataifa wa kiuchumi na kijamii,

mkutano unategemea mazungumzo ya majadiliano na kubadilisha mawazo pamoja na kuzingatia  ufumbuzi wa ubunifu na utakaotekelza ili kukidhi mahitaji ya vijana, jukwaa linachanganya baina ya vikao vya umma na eneo la kazi na sehemu za mazungumzo na ubunifu, na maonyesho ya vijana pamoja na mazungumzo ya kiwango cha juu na mawaziri na washiriki.

mkutano unalenga kwa mazungumzo ya idadi kutoka maudhi, maudhi muhimu zaidi ni maendeleo ya uwezo za vijana juu ya utendaji na utumiaji wa elimu, ushirikiano mzuri wa vijana kwa ajili ya maendeleo ya kisiasa na mkakati wa vijana, pamoja na mipango na huduma za kirafiki za vijana, pia njia za kuimarisha kwa kuchangia kwa vijana katika kuhakikisha maendeleo ya kudumu.

Na pembeni mwa mkutano na katika mahusiano ya Pamoja na kihistoria kati ya Misri na Jamhuri ya Tunisia, Dokta Ashraf Sobhy anafanya idadi ya mkutano muhimu na maalumu katika sekta ya vijana na michezo na maafisa wa Tunisia, pia na ndugu wa kiarabu wanaoshiriki katika jukwaa hilo, ambapo Waziri wa vijana na michezo anaonyesha tajriba ya nchi ya Misri katika kuhamia, mabadiliko na maendeleo ambayo Misri inashuhudia hivi sasa chini ya uongozi wa kipekee kwa Mheshimiwa rais Abd Alfatah Elsisi, mabadiliko makubwa kwenye ngazi ya kimataifa yanayoshuhudiwa kwa harakati ya michezo ya kimsri.

Comments