Refarii wa Misri wa mpira wa kikapu wanachukua uongozi wa Kiafrika.

Refarii wa Misri wa mpira wa kikapu wamechukua uongozi wa Kiafrika katika beji za kimataifa, ambayo idadi ya Refarii wanaozipatia imefika Refarii kumi na moja, ambapo Misri kushinda  Tunisia ambayo idadi ya Refarii wake  wanaoipatia beji ya kimataifa imefika Refarii tisa.

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Refarii, Ahmed Alfalky amesema kuwa hapo zamani uteuzi wa Refarii wa kimataifa umekuwa kufanya kupitia kuhudhuria kwa kozi mbili za mafunzo katika nchi wa Kiafrika kwenye awamu mbili, kwa msingi wa awamu hizo wamepatia beji ya kimataifa, jambo ambalo limesababisha katika uwepo wa idadi kubwa ya Refarii ambao hawatumiwi, jambo hilo limefanya Muungano wa kimataifa unaweka viwango vipya ili kudhibiti kwa uteuzi wa Refarii wapya.

Alfalky ameongeza kusema kuwa muungano wa kimataifa umeweka uainishaji kwa kila Muungano wa kitaifa , na umeweka Muungano wa Kimisri katika nafasi ya kwanza, ambapo Misri ina haki ya kupata alama nne za kimataifa.

Na kwa mujibu wa ushiriki katika michuano, Misri imekuja katika nafasi ya kimataifa ya thelathini na tisa na hii inafanya Misri ina haki ya kupata beji tatu za kimataifa nyingine, ambapo kanuni inatoa haki hiyo kwa nchi arobaini za kwanza, pia uwepo wa Refarii wa wanawake na ushiriki wa wanawake katika katika michuano ya Kiafrika ya wanawake unazingatia kuongeza kwa beji mbili za kimataifa nyingine na beji mbili kwa ushiriki wa Refarii katika michuano ya Kiafrika ya wanaume, na michuano ya kimataifa yoyote kwa watu wazima au wadogo.

Akiendelea kuwa kwa mujibu huo, Misri imemiliki idadi kubwa zaidi ya Refarii wa kimataifa barani Afrika wanaofikia idadi yao kumi na moja baada ya ushindi wetu juu ya Tunisia ambayo idadi ya Refarii wake ni Refarii tisa, ambapo katika mwaka uliopita idadi ya Refarii wa Tunisia imekuwa kumi, huku idadi ya Refarii wa Misri imekuwa Refarii tisa tu.

Pia amesema kuwa kuna aina tatu za alama za kimataifa, rangi ya kijani kwa wasichana, nyeupe kwa awamu ya umri mbalimbali na beji nyeusi inatoa haki kwa Refarii kwa ajili ya kutawala kwa mechi za michuano zote, Mwaka uliopita tumekuwa na beji mbili nyeusi, lakini idadi hiyo imenua ili kufikia beji sita na yeye amesisitiza kuwa sisi kwenye njia sahihi.

Amemaliza kauli  yake : tunajali kwa kuongeza kwa kiwango cha Refarii kupitia kambi inafanyika katika eneo la Abo keer, mjini Aleskandaria na wakati wa msimu wa michezo tunafanya uchunguzi katika kanuni ili kutoa misaada kwa Refarii wote katika kuongeza kiwango chao.

Uainishaji wa Refarii wa Misri kama ifuatavyo : waangalizi wa kimataifa (upya) Osama Aldabagh, Ahmed Alfalky, Hisham Alhariry, Tarek Mostafa, Hisham Hassan na Mohamed Younes.

Refarii wa kimataifa (upya) :Aya Khaled, Sara Gamal, Amr Abo alo, Isalam Wahed, Mohamed Almenshawy, Sameh Istafanos, Wael Ibrahim na Mahmoud Gamal.

Refarii wapya wanaoipatia beji ya kimataifa : Marwan Feteha, Hisham Higazy na Amr zahed. 

Comments