Timu ya mpira wa vinyoya kushinda Eritrea 5-0

Timu ya Misri kwa  mpira wa vinyoya ilihakukusha ushindi juu ya mwenzake timu ya  Eritrea kwa matokeo 5-0 katika mechi  iliyochezwa kwenye kikao cha Michezo ya kiafrika chmechofanyika huko Moroko, ambapo mashindano ya mpira wa vinyonya  imeyofanyika katika mji wa Kazablanka

Ahmed Saleh alishinda mechi ya   kwanza 2-0 na 21/4 na 21/3, katika mechi ya  pili Hadia Hosni alishinda 2-0 na 21/6 na 21/10, na katika  mechi ye wachezaji wawili Misri walipigwa na Mohamed Mustafa na Abdul Rahman  Abdel Hamid Katika mechi ye wachezaji wawili wa wanawake, Misri ilishinda njia ya wachezaji Jana Makkawi na Nour Yousri 2-0 ifikapo tarehe 21/4 na 21/16. mechi ye wachezaji wawili zilizochanganywa ,Misri ilishinda na wachezaji  Adham Hatem na Doha Hani  2 - 0 na 21/5 na 21/8 , matokeo yam echo ya mwisho imekuwa 5-0 kwa timu yetu.  Timu ya kitaifa ya mpira wa vinyoya itacheza mechi ya pili dhidi ya Afrika Kusini,  siku ya Jumamosi.


Comments