kupitia wiki ya ( Ndugu wa wamisri na Morocco ... Ujumbe wa vijana wamorocco umetembelea maktaba mkoani Aleskandaria na ngoma ya Qaitbay

Wizara ya vijana na mchezo inakamilisha mafanikio ya wiki ya Ndugu ya kimisri na kimorocco , inayopangwa na wizara hiyo kupitia  dara kuu ya Programu za Kitamaduni na za kujitolea  na Idara kuu ya Mahusiano  , Na mafanikio yake itaendelea hadi 25 mwezi wa Agosti mwaka 2019 mikoani kairo na Alexandria .

Ujumbe wa Morocco unaoshirikia wikiendi ya undugu , umezuru duka la vitabu mkoani Aleskandaria , ili kufahamu  majengo hayo ya kitamaduni na dirisha la ulimwengu juu ya Egypt, ambayo ni pamoja na maktaba yenye uwezo wa kubeba vitabu milioni 5; Sayari, pamoja na kumbi za utafutaji na maonyesho.

Ujumbe wa  ufalme wa Morocco umefahamu ukumbi mkuu wa kusoma , ambao ni moja ya kumbi za kusoma na maktaba maalum katika  sanaa , Vyombo vya Habari , vifaa vya kutazama na kusikiliza , wapofu , watoto , vijana , microfilamu , ramani , na mada na nadharia za chuo kikuu .

Vilevile Ujumbe wa Morocco uliyaona makumbusho ya mambo za kale , ramani na historia ya sayansi , pamoja na maonesho ya kudumu ya Aleskandaria kupitia miaka yote , kazi bora za hati za kiarabu , historia ya uchapishaji , na mashini ya kisayansi ya waarabu katika zama za kati , pamoja na kutazama kumbi za maonesho ya kisanaa ya muda mfupi .

Ujumbe huo umetazama maonesho na filamu fupi za historia ya kimisri na urithi wa asili wa kimisri ndani ukumbi wa panorama wa kitamaduni , wamejua kupitia kwake juu ya alama na mahali muhimu zaidi pale Kairo na Aleskandaria .

Ujumbe wa vijana wa Morocco umetembelea ngoma ya Qaitbay na wamefahamu kuu ya tarehe  ya kuanzishwa kwake , pamoja na kutembelea makumbusho ya kitaifa huko  Aleskandaria .

Ni muhimu kukumbuka kuwa wikiendi ya undugu wa kimisri na kiMorocco inakuja katika mfumo wa kukuza na kuunganisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili kupitia vijana , na katika utekelezaji wa mpango wa mkakati na ushirikiano katika uwanja wa vijana baina ya wizara ya vijana na mchezo ya Misiri na mwenzake ya Morocco

Comments