Waziri wa vijana na michezo anapendezwa kwa utendaji wa kishujaa kwa timu ya Misri kwa vijana wa mpira wa wavu baada ya kushinda kwake juu ya nchi ya Arjantina .
- 2019-08-23 16:39:40
Dokta Ashraf Sobhy ni waziri wa vijana na michezo pamoja na
bwana wa Nabil Alhabashy ni balozi wa Misri nchini Tunisia walishuhudia leo
mechi ya timu ya Misri na Arjantina
katika mchuano wa kombe la dunia kwa mpira wa wavu kwa vijana chini ya
umri miaka 19 ulifanywa nchini Tunisia kipindi muda siku ya 18 mpaka 30 mwezi
wa Agosti unaendelea ,ambao ulimaliza kuhakiksha timu ya Misri kufuzu kwake kwa
pili kwa timu ya Arjantina kwa matokeo bao 3 .
Waziri wa vijana na michezo amependezwa kwa utendaji wa
kiume na tofauti kwa timu ya Misri kushukru zamu ya timu ya mpira wa wavu
katika kuandaa wachezaji kama alisistiza makini wake kwa sababu zina uwezo wa
ufundi mzuri na uwezo wa mwili unawastahili kufuzu juu ya washindani wao .
Timu yetu inacheza miongini mwa kundi tatu ambacho
kinajumuisha japan ,Arjantina ,Ujerumani na Mexico .
Na pia ilikuja huu juu ya pempezoni mwa ziara ya Dokta ashraf sobhy kwa nchi ya tounis kuhudhuria
mkutano wa vijana katika eneo la kiarabu katika toleo lake la pili ambalo
linafanyawa katika kipindi kutoka 20 mpaka 22 katika mwezi wa Agosti huu.
Comments