Côte d'Ivoire iko magaribi mwa Afrika.
Inapakana na Ghana upande wa mashariki,
Guinea na Liberia upande wa magharibi, Mali na Burkina Faso kaskazini, na Ghuba
ya Guinea na Bahari ya Atlantic upande wa kusini.
Yamoussoukro |
Mji mkuu |
Yamoussoukro |
Mji
mkubwa nchini |
Kifaransa |
Lugha
rasmi |
Hassan Wattara |
Raisi wa
nchi |
Franc xof |
Fedha |
Kutoka faransa
7/8/1960 |
Kupata
uhuru |
Takriban milioni 20.617 |
Idadi ya
wakazi |
Ukristo 32.8 % Uislamu 38.6% dini za mitaa
11.9% |
Dini |
Grand bassam Assinie Abidjan |
Baadhi ya maeneo ya utalii |
-
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa
ya Côte d'Ivoire :
Golikipa |
23 Ali Badra
Sanjari 1 Saioba
Mand Sylvain
Gbuho Adama Traore
|
Beki |
Eric Bailey Defense |
Kiungo |
Sheikh Dukouri |
Washambuliaji |
Seriyak Gohi Bi Attack |
Comments