Historia
yake kwa ufupi:
Jamhuri ya
muungano ya Tanzania ni nchi iliyopo mashariki mwa Afrika. Kwa upande wa kaskazini inapakana na Kenya na
Uganda, upande wa kusini inapakana na
Rwanda, Burundi na Jamhuri ya kongo ya kidemokrasia. Na inajumuisha
mikoa 26. Raisi wake wa sasa ni BW. John Maghafuli, aliyechaguliwa mwaka 2015.
Dodoma ilikuwa mji mkuu tangu mwaka 1996 baada ya nchi hiyo kupata uhuru. Dar-es-salaam inazingatiwa kuwa ni mji mkuu
wa kibiashara pamoja na kituo cha taasisi kadhaa za serikali.
Timu yake
Timu hii
inazingatiwa kuwa ni timu ya taifa nchini Tanzania. Timu hiyo inaongozwa
Shirikisho la soka la Tanzania . lilianzishwa mwaka 1930, taifa ya Tanzania haijawahi kufuzu katika mashindano ya kombe
la dunia.
*Mafanikio
yake:
1-Mashindano ya
nchi za mashariki na kati ya Afrika
CECAFA
Timu hii
ilishiriki katika mashindano haya katika miaka
1994,1995,1996,1997,1998 1999,2000,2001,2002,2003,2004,2005,2006, 2007,
2008,2009,2010 na 2011. Ikaishinda timu
ya Uganda mara mbili kwa mikwaju ya penati.
Katika mwaka 2010 ikachukua
ubingwa uwanjani mwake kwa kuifungua Ivory Coast 1-0. Katika mwaka 2002
ikaishinda Rwanda. Inaonekana kuwa
kipindi bora cha timu hiyo kilikuwa mnamo miaka miwili; 1980 na 1981.
2-Mashindano
ya michezo ya kiafrika ya mwaka 1973
Kama kawaida, timu hiyo imekuwa mgeni wa heshima katika
mashindano haya. Ambapo timu hiyo
ilicheza mechi tatu, ambapo ilipambana na Aljeria, Ghana na Nigeria . Ikashindwa mechi tatu hizi kwa matokeo ya
magoli mawili kwa manne na Aljeria na matokeo ya zero kwa moja na Ghana pamja
na matokeo ya goli moja kwa mawili na Nigeria.
2-Mashindano ya kombe la kimataifa la Afrika
Ambapo
ilicheza mechi nne katika mashindano haya, ambapo ilipambana na Nambia,Msumbaji,Zambia
na Malawi. VileVile ilitoka sare katika mechi tatu hizi na Nambia,Malawi na
Zambia. Na ikashindwa katika mechi ya Msumbaji. Kwa hivyo imetoka katika
mashindano hayo bila mafanikio yo yote.
Golikipa |
R. Kabwili M. Wawesha Manolaِ |
Beki |
Make Morris 5 Kelvin Yandani Moyni Mangwali Salim Mbondi |
Kiungo |
Erasto Neony 7 Himeed Mao 17 Marisho Nagasa Facebook Facebook logo Abbas Modater Ramadan Sinjano Happy Guma 4 Shumari Kabombi |
Washambuliaji |
18 Aichi Manola 15 Elias Majouri 14 John Boko 10 Mbawana Samata Simon Massova Shiza Kishoya 11 Thomas Olmwango |
Comments