Hedaya Malak mchezaji wa timu ya kitaifa ya Taikondo ya kwanza , amepata medali mpya ya kidhahabu kwa ujumbe wa Misri unaoshiriki kwenye michezo ya kiafrika inayofanyika huko Morocco sasa hivi .
Bingwa mmisri
amemshinda mpinzani wake wa Cote devoir
Mary Fredrek katika mchezo wa mwisho wa uzito chini ya kilo 67 , 20_0 ,
kukusanya dhahabu .
Bingwa huyo wa medali ya shaba ya olimpiki ya Rio de Janeiro
alihitimu moja kwa moja robo fainali ya michezo ya kiafrika kwa sababu hali
yake ya juu ، na alikwenda
hadi fainali kabla ya kushinda na kupata medali ya dhahabu .
Comments