Farida Othman Amepata medali ya dhahabu ya kipepeo ya mita 50 na kufanikiwa namba mpya barani Afrika .

 Mwogeleaji wa Misri Farida Othman ameshinda medali ya dhahabu katika mashindano ya kuogelea kwenye michezo ya kiafrika inayofanyika sasa hivi huko Morocco .

 

Bingwa huyu amepata nafasi ya kwanza na medali ya dhahabu ya mbio ya kipepeo ya  mita 50 ya baada ya kufanikiwa muda sekunde 25 na kipindi cha sekunde 94 , na alifanikiwa namba mpya barani Afrika iliyosajiliwa kwa jina lake .

 

Na mwogeleaji wa Afrika kusini Irene alipata nafasi ya pili na mwenzake Ema alipata nafasi ya tatu

Comments