Timu ya vijana wa mpira wa wavu inachukua nafasi ya kwanza katika kikundi chake baada ya kushinda Mexico

Timu ya kitaifa ya vijana wa mpira wa wavu inayoongeza na meneja wa kiufundi Hasan Elhosary ilimpiga mwenzake wa Mexico kwa 3-0 

Katika ziara ya mwisho ya kikundi cha tatu ya mashindano ya dunia inayofanyika nchini Tunisia kupitia kipindi cha 21 na mpaka 30 Agosti 


Na matukio ya mechi ni kama ifuatavyo ( 23-25 , 23-25 , 21-25 ) 


Na kwa matukio haya , timu yetu ya kitaifa alichukua nafasi ya kwanza baada ya kushinda kwake juu ya wapinzani wake wote 


Timu yetu ilikuwa imeanza njia yake kwa kushinda juu ya mwenzake wa ujerumani kwa 3-2 , kisha kushinda mwenzake wa Arjantina kwa 3-1 , kabla ya kushinda kwake mwenzake wa Japan kwa 3-2 


Na vijana WA ( mafarao ) inasubiri kumalizika kwa mikutano ya kikundi cha nne ili kuchagua mwenye nafasi ya nne na ambayo timu yetu inamkabili katika 1/8 ya fainali ya kombe LA dunia  


Na orodha ya timu ya kitaifa inajumuisha ( Abdelrahman Elhosiny , Mohammed Elwan , Youssef Hussin , Mohammed Soliman , Ahmed Abdelazim , Ahmed Abbas , Marwan Elnagar , Youssef Elentably , Anas Mohammed , Ahmed Abdo , Mahmood Osman , karim Ibrahim , Eiad Mohammed , Omar Digham , Ahmed Hanfy , Mohammed Oraby , Youssef Nossair , Youssef Ghafer , Ibrahim Raslan ) 


Na mwenyeketi wa ujumbe ni Gaber Abdelatty wakati ambapo Hasan Alhosry anaongoza timu kiufundi na mshiriki wake ni Naser Ali kama kocha msaidizi na Mostafa Saleh kama mchambuzi wa kiufundi na Naser Hamdy ni mkurugenzi mtendaji wakati ambapo daktari Mostafa Yousry ni msimamizi wa tiba ya mwili ya timu

Comments