Kamati ya vyombo vya habari ikataa kuacha Umoja wa kiafrika kwa vyombo vya habari ya kimisri katika sherehe ya kura
- 2019-04-08 14:16:56
Kamati ya vyombo vya habari ya Michuano ya mataifa ya kiafrika imekataa yaliyofanywa na Shirikisho la soka ya Afrika katika sherehe ya kura ya michuano , ambapo limeviainishwa viti vilivyohusishwa kwa waandishi wa habari wamisri kwa wakala za habari na stesheni za t.v. za kimataifa kwa udhuru kuwa wafanyikazi wake ni wamisri.
Mkuu wa kamati Osama Ismaiyl amewaomba wasimamizi wa Umoja wa kiafrika kwenye barua rasmi " wafanye haraka na kurekebesha hali na kuirejea yaliyo sahihi".
Mkuu wa kamati ya vyombo vya habari kwenye barua yake amesisitiza kuwa viti hivi vyenye idadi 32 kama vilvyoainishwa na Umoja wa kiafrika ni lazima vyombo vya habari ya kimisri vifaidike kotoka katika viti vyote, pia alisisitiza kuwa haiwezekani kwa hali yoyote kufanya shughuli za kura wakati wa kuacha kamili kwa vyombo vya habari ya nchi mwenyeji .
Aidha mkuu wa kamati ya vyombo vya habari ameongeza kuwa yeye anwaheshimu wenzake wote walochaguliwa.
Lakini kukataa kwake kunahusu njia ya kugawanya ambayo inawafanya wasimamizi wapo kwenye gawio la vyombo vya habari ya kimisri .
Ismaiyl ameashiria kuwa mhandisi Hani abu Riida ameingia kabla ili kuongeza idadi ya viti vya wandishi wa habari kwenye sherehe ya kura toka 120 kwa 180 ingawa eneo ni finyu , kwa lengo la kutatua mzozo , baada ya kuwa Umoja wa kiafrika ulivigawanya viti 120 juu ya nchi 24 zitakazoshiriki michuano ambapo gawio la kila nchi ni viti 5.
Jambo hili ni vigumu kulifanyia kazi juu ya nchi mwenyeji .
Idara ya vyombo vya habari ya Umoja wa kiafrika ilikuw imetoa mwafaka kwa waandishi wa habari 32 tu wote ni wafanyikazi katika ofisi za Cairo na waandishi kwa vyombo vya habari za kigeni . Hao ni miongoni mwa waandishi wamisri 230 waliosajili katika mtandao wa CAF ili kuhudhuria shughuli za kura .
Kugawanya kwa waandishi wa habari waliopata mwafaka kumekuja kwa kiwango kijacho:
Viti 6 kwa wakala ya Reuters ,5 kwa B.B.C, 5 kwa Bein Sports, 4 kwa wakala ya kiufaransa, viti viwili kwa kila moja miongoni mwa Associated Press, Suber Sport , na T.V . ya Uchina, na kiti kimoja kwa kila moja miongoni mwa mtandao wa Gol, wakala ya habari ya kimataifa , wakala ya Map, t.v. 24 ya Ufaransa , Shirikisho la Soka la Misri na wakala ya Ulaya .
Comments