Timu ya Tenisi ya wanaume imepata medali ya dhahabu ya michezo ya kiafrika .


Timu ya Misri ya Tenisi ya wanaume , imepata nafasi ya kwanza na medali ya dhahabu ya michezo ya kiafrika baada ya kuishinda timu ya  Nigeria katika mechi ya mwisho na alama 3_2 katika mkutano uliofanyika uwanjani kwa Mawllay Hassan , Misri ipate medali mbili za dhahabu za wanaume na wanawake. 


Misri ilishinda katika mechi za wawili 1/3 kisha kushinda katika umoja kwa 3/0 baadaye kushindwa  umoja 3/0 na kisha 3/2 kisha kushinda mechi ya mwisho ya moja 3/0 ipate jina wanaume baada ya kupata jina  wanawake badala Nigeria pia .


Mechi hiyo ya mwisho imehudhuriwa na Dokta  Alaa Mashrf mweka hazina wa kamati ya olimpiki ya kimisri , na naibu wa rais  wa muungano wa kimataifa wa tenisi na mwandisi Albasel Abdellah ambaye ni rais wa ujumbe wa kimisri na maneja Yehya Daabis naibu wa rais wa ujumbe , na Motaaz Ashor rais wa muungano wa tenisi , na kutoka ujumbe wa kiidara Khaled Hassan .


Ujumbe umeongozwa na Tamer Wafi mbunge wa baraza la idara ya muungano wa tenisi , na Ashraf Helmy mkurugenzi wa kiufundi , na Maged Ashor mkurugenzi wa kiufundi , na mtabibu Hassan Kamal rais wa ujumbe wa utabibu , na mtabibu Ahmed Mosaad , na wachezaji  wa kike  Dina Meshrif , Farah Abdelaziz , Yousra Ashref, Reem Aleraki , na Mariam Alhadabi , n'a wachezaji wa kiume Ahmed Saleh , Omar Asr , Khaled Asr , Mohemed Alleby na Mahmoud Ashraf

Comments