Timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa wavu inashindwa dhidi ya timu ya kitaifa ya Cameron kwa matokeo 0- 3 katika mashindano ya michezo ya Kiafrika.
- 2019-08-26 11:13:22
Timu ya kitaifa ya kwanza ya mpira wa wavu kwa wanaume, chini ya uongozi wa mkurugenzi wa kiufundi wa mholanzi imeshindwa kwa mara ya kwanza katika mashindano ya michezo ya Kiafrika iliyofanyika nchini Moroko mnamo kipindi cha tarehe 19 hadi 30, mwezi huu wa Agosti baada ya kushindwa kwake dhidi ya timu ya kitaifa ya Cameron kwa matokeo 0-3.
matokeo ya kipindi imekuja
kama ifuatavyo : (25-21),(25-21),(25-21).
Kupingwa Timu yetu ya
kitaifa katika itacheza dhidi ya timu ya kitaifa ya Algeria, siku ya Jumanne ijayo.
Orodha ya timu yetu ya
kitaifa inajumuisha wachezaji 12 na wao ni : Hossam Youssef, Ahmed Fathy, Ahmed
Youssef, Ahmed Said, Mostafa "Dabsha", Ahmed Diaa, Omar Naguib,
Mohamed Abd Almohssen, Mohamed Adel, Abd Alrahman Soudy, Ahmed Adel na Hisham
Youssry.
Ujumbe wa mpira wa
wavu unaongozwa na mwenyekiti wa Muungano, Ahmed Abd Aldaym.
wanachama wa chombo
cha kiufundi ni mkurugenzi wa kiufundi,
mholanzi Gido Fermolin na Ahmed Ashour, Kocha mkuu na Ragab Kotb, mchambuzi wa
utendaji na Abd Alrahman Ghanem ambaye ni Madaktari wa mazoezi ya mwili , pia
kuna daktari Ahmed Soudy kutoka ujumbe wa matibabu.
Comments