Bingwa toka dhahabu .
Renim
mohamed yasser saad al_din al_waily (mzaliwa wa tarehe ya 1 mwezi wa Novemba mwaka wa 1989 nchini Aleskandaria
ni mchezaji Mtaalamu wa skwoshi nchini Misri .
Renim
amezaliwa mkoani mwa Aleskandaria na pia
amefichua kwa nguvu katika ulimwengu wa Skwashi kama moja wa wachezaji hodari
zaidi katika michuano ya shirikisho la skwoshi kwa wataalamu tangu alikuwa
mchezaji wa kitaalam mwaka wa 2002 renim alipata juu ya nafasi yenyewe ya ndugu
yake tmim katika skwoshi katika umri wa miaka sita kisha alicheza kwa mara ya
kwanza katika mchuano wa ulimwengu kwa vijana mwaka 2001 Katika umri wa miaka
10 wakati huu .
Baadaya
,miaka miwili ,alikuwa miongini mwa timu ya Misri ya kushinda katika aina ya timu
katika michuano ambao ulifanywa mkoani kairo ,mnamo mwaka wa 2004 .
Aliwakilisha
timu ya kwanza kwa wanawake ambyo ilichukua nafasi ya nne katika michuano ya
ulimwengu kwa timu za Skwashi nchni Amestrdam .
Kituo
kikubwa zaidi kilikuwa katika njia ya Ranim kama mchezaji mchanga aliposhinda kwa michuano ya ulimwengu kwa Wachanga
katika Arantel , nchni Ubelgii mwaka wa
2005 kama imeshachaguliwa mchezaji wa mwaka huu na umoja wa kitaifa kwa cups wa
squash mwaka wa 2004 ,2005 kisha alirudi mwaka wa 2007 ili kushinda mara nyingi
kwa mchuano wa ulimwengu kwa vijana .
Njia ya Utaalam :
Ranim
alishinda michuano yake ya kwanza ya mikubwa mwaka wa 2009 kwa kumtawaza kwa michuano
wazi ya Helioplis nchini Misri ,kushinda
huku kulimsaidia juu ya kufikia kwa wachezaji 20 wa uanishaji kwanza za
ulimwengu ,kisha akiheshemwa kwa wachezaji 15 wa kwanza katika uanishaji
baadaya kifikia kwake kwa zamu kabla ya mwisho katika michuano wazi ya Malaysia
ingawa ni miongoni mwa mchezo wa kucheza wa awali .
Katika mwaka
wa 2011 ,Ranim alishinda michuano yake ya juu zaidi mpaka sasa kwa kuhakiksha
kwa michuano wazi ya Carol Wimoler baadaya kushinda kwake katika mwisho juu ya
mchezaji wa pili wa dunia Jenny Duncaalf ,katika mwaka huu alishinda juu ya
raia wake omnia abdel Qawy katika mwisho wa michuano ya Hurghada ya kimtaifa
ili kupata lakabu yake ya pili katika mwaka wa 2011.
Kisha mwaka
wa 2012 ulishuhudia kufikia Renim kwa utaritibu wa 2 katika uanishaji wa
ulimwengu kwa mara ya kwanza ,katika mwezi wa septemba mnamo mwaka
mwenyewe,alishinda michuano ya kwanza ya ulimwengu wa baadaya kushinda kwake
juu ya mchezaji wa kwanza wa dunia wa malysia Nicole David katika mwisho wa michuano
wazi ya Malysia,Nicole alilipiza baada ya hivyo kwa mwezi katika michuano wazi ya
Amerika kabla ya kurudi kwa Ranim na kumshindia mara nyingine mwaka wa 2013
katika mwisho wa michuano ya Clecvel ili kupata
lakabu nyingine.
Katika mwaka
wa 2015 mwaka huu umeshuhudia mwanzoni nguvu kwa Renim kwa kufuzu kwake kwa michuano
ya shujaa wa michuano wazi ya mji Wiendy na michuano wazi ya Aleskandaria ili kukaribia huu kutoka
mchezaji wa kwanza wa ulimwengu Nicole , mnamo mwezi wa Mei wa mwaka ule ule , alipata jina
mchezaji wa mwaka na umoja wa kitaifa kwa wachezaji wa Skwashi kuhusu msimu
wake mzuri 10/2014 baadaya hivyo kwa miezi minne kuhakiksha kwa mafinikio ya
pekee kichukua utratibu wa ulimwengu ili kuondoa Nicole kutoka uongozi wake
ambayo ili dumu miaka tisa ,pia ni mchezaji wa kwanza wa Misri kuhakiksha hii .
Katika michuano
ya kwanza ya kwake baada ya kuchukua kwake kiti cha enzi cha Skwashi ,hasa katika mwezi wa Septemba 2015 ,Renim
alihakikisha lakabu nyingine kwa kushinda kwa michuano wazi ya China kwa hasira
moja tu katika michuano yote ,baadaya kufanikia kwake nchini China .
Renim alishindwa
katika kufikia kwa mwisho wa mchuano wa ulimwengu kwa wanawake wa wataalamu
katika mwaka wa 2015 baadaya hasara kubwa 3/1. Ya mchezaji wa India joshna shinaba katika zamu ya kwanza kwa
mchuano unaofanyikwa nchini Qatar .
Maisha yake
ya kibinafsi :
Renim alihitimu
masomo Kutoka shule ya Ujerumani mjini Aleskandaria ,na baadaya alikwenda
taaluma ya maji mkoani Kairo kati ya vipindi vya mafunzo alitumia muda kukidhi
matamani yake katika muziki na mafumbo ya picha zilizovunjika .
Renim aliolewa na mchezaji mmisri wa Skwashi Tarek Moemen baada ya uchumbe wake katika
mwezi wa Decemba mwaka wa 2012 .
Comments