Maabara ya kimisri ya kupambana madawa ya kusisimua yamesaidiwa kwa paundi milioni 12 .

 Katika mfumo wa juhudi za Misri za kujaribu kufahamu maendeleo ya hivi karibuni ya kisayansi na utafiti katika uwanja wa kupinga dopta, na kufadhili mfumo wa michezo , wizara ya vijana na michezo ilitangaza kufadhili kwake kwa maabara ya kimisri ili kugundua  dawa katika kituo cha matibabu ya ulimwenguni  na paundi milioni 12 dhamana ya gharama za opereseheni ya maabara na gharama za vibali kimataifa .

 

Maabara ya dawa inayojengwa na vikosi vya wanajeshi ,  inastahili kama nyongeza ya nguvu kwa michezo ya Misri kwani inazingatiwa maabara ya pili ya dawa katika mashariki ya kati na Afrika , na inaoneshwa na kiwango cha kimataifa kwa upande wa vifaa vya hivi karibuni katika uwanja wa kugundua doping , pamoja na inajumuisha maabara ya utayarishaji wa sampuli , na maabara ya utafiti , na maabara ya Kemekali na Homoni , na maabara ya utafiti wa damu  .

 

Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alikuwa amesisitiza juu ya jukumu la mfumo wa Misri wa kupinga madawa ya kusisimua la kusambaza na kuunga mkono utamaduni wa kupinga madawa na kufahamisha hatari yake , pamoja na  tabia ya kutumia utafiti wa kisayansi kwa njia ya vitendo ambayo huonesha  juu ya mfumo wa michezo haswa kutoka kwa kuchagua na uteuzi wa watu wenye vipaji na kuwaunga mkono wachezaji na lishe inayofaa

Comments