Wizara ya vijana na michezo inachangia gharama za matibabu ya mchezaji wa mpira wa kikapu (Noha Shata) kwa paundi elfu arobaini.

Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo anakubali kuchangia sehemu ya gharama za matibabu ya mchezaji wa timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa kikapu (Noha Osama Shata) kama msaada kwa Muungano wa Kimisri wa mpira wa kikapu, na hiyo kwa thamani ya elfu arobaini.

 

Idhini ya Waziri wa vijana na michezo  kwa kuchangia matibabu ya mchezaji (Noha Osama) imekuja miongoni mwa mpango wa wizara ili kutunza kwa mabingwa wa riadha (wanariadha) na kutoa misaada kwao na kuondoa vizuizi vyovyote vinawazuizi kuhifadhi kwa kiwango cha mwili na kiufundi, kwa ajili ya kushinda kwa medali na ushindi kwa michuano mbalimbali pamoja na kupunguza mzigo wa kifedha juu ya Muugano.

 

Noha ameambukizwa kwa kukata katika mchanganyiko wa misuli  na Gegedu ya kihilali  wakati wa ushiriki wake katika fainali za Afrika zinazowasilishwa kwa michuano ya Afrika yaliyofanyika nchini Madagaskar. 

Comments