Timu ya kitaifa ya mpira wa mikono kushinda timu ya kitaifa ya Nigeria na kufikia nusu ya fainali ya mashindano ya michezo ya Kiafrika

 Timu ya kitaifa ya vijana wa mpira wa mikono, chini ya uongozi wa mkurugenzi wa kiufundi, Hany Alfakharany imechukua tiketi ya kufikia kwa zamu ya nusu ya fainali ya mashindano ya michezo ya Kiafrika, nambari ya 12 na yaliyofanyika nchini Morocco mnamo kipindi cha tarehe 19 hadi 31, mwezi huu wa Agosti, baada ya ushindi wake dhidi ya timu ya kitaifa ya Nigeria kwa tija 27-26.

 

Timu ya "farao" imeweza kuhakikisha ushindi katika sekunde za mwisho za mechi, ili inafikia nusu ya fainali ya michuano.

 

Kipindi cha kwanza imekwisha kwa magoli 14-9 kwa maslahi ya Timu ya kitaifa ya Nigeria "Tai", kabla ya timu yetu ya kitaifa inabadilisha njia ya kucheza kwake, ili inaweza kufunga goli la usawa na kushinda kwa mechi hiyo katika sekunde za mwisho ya mechi.

 

Timu yetu ya kitaifa imefikia zamu ya nane baada ya kuchukua kwake kwa nafasi ya kwanza ya kundi la kwanza , huku timu ya kitaifa ya Nigeria imechukua nafasi ya nne ya kundi la pili.

 

Orodha ya timu ya kitaifa inajumuisha wachezaji kama ifuatavyo : Shihab Abdallah, Omar Alwakeel, Abd alaziz Ehab, Ahmed Kassem, Seif Alderaa, Ahmed Rady, Mohsen Ramadan, Omar Castello, Omar Samy, Khaled Waleed, shady

Shady Mahmoud, Abd Alfatah Ali, Abd Alrahman TaHa, Abd Alrahman Homyeed, Seif Hany na Mohab Said.

Comments