Bingwa wa karate baada ya ushindi wake kwa medali ya shaba ya mashindano ya michezo ya Kiafrika.... Giana Farouk : tunawaahidi kwa nafasi bora zaidi katika Tokyo 2020.

 Bingwa wa timu ya kitaifa ya Misri ya karate, Giana Farouk ameashiria kuwa timu ya kitaifa ya Misri imetenda utendaji wa kipekee na imekuwa kwenye kiwango cha jukumu... Tangazo hilo limekuja baada ya ushindi wake kwa bingwa wa Senegal kwa 6-0 na kupatia kwake medali ya shaba katika fainali ya mashindano ya karate, uzito wa kilogramu 61.

 

Giana amesema : "tumecheza mechi zenye nguvu na tunawaahidi kwa kuhakikisha nafasi bora zaidi katika Tokyo 2020".

 

ushindi huo umekuja kwenye ukumbi wa mfalme Abdallah, mjini Rabat katika mashindano ya michezo ya Kiafrika yanayofanyika nchini Morocco mnamo kipindi cha tarehe 16 hadi 31, mwezi wa Agosti 2019.

 

Imetajwa kuwa kuna hali mbaya sana kwa sababu udhalimu wa Refarii uliosababisha kufichwa katika medali za karate.

 

Giana ametoa shukrani kwa Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo, pia ametoa shukrani kwa mwenyekiti wa Muungano wa Kimisri wa karate (Mohamed Aldahrawy) na wanachama wa baraza la uongozi, huku ametoa shukrani kwa benki ya Al-ahly ya Kimisri, mtoaji wake rasmi na kwa timu ya (Mafarao) ya Olimpiki ambayo yeye ni miongoni mwa wachezaji wake na inayotoa misaada mikubwa kwake mnamo kipindi kilichopita, pia ametoa shukrani kwa shirikisho la riadha kwenye juhudi zinazofanywa kwa ajili ya uandaaji nguvu unasababisha katika ufuzu wake kwa medali ya kidhahabu ya Afrika kwa mara ya pili mfululizo katika michuano ya Afrika yaliyofanyika nchini Botswana mwezi wa Julai iliyopita na muugano wa kimataifa wa karate umesifu kwa utendaji wake na kiwango chake.

Comments