makao makuu ya ujumbe wa matibabu ya kimisri yanashughulika sana pale katika michezo ya kiafrika huko Morocco.
- 2019-08-28 12:40:36
ujumbe unaoshiriki kwenye michezo ya kiaftika nchini
Morocco ilisifu na zahanati za matibabu kwa ujumbe wa kimisri kwenye makao
makuu ya ujumbe katika chuo kikuu cha taifa nchini Pibat ambapo ujumbe wa
kimisri ya kwanza ambayo inatambulisho zahanati inayokusanya kila inayohitajika
na wachezaji.
ujumbe wa misri inazingatia kwamba awaza ghorufa mmoja kama
makao kwa ujumbe wa matibabu kwa wachezaji ili kufuata kesi yao ambapo kufanya
ripoti ya kila siku kwa kwsi ya wachezaji;madhara na ufuatano wa kila suiku.
Dokta Hasan Kamal mwenyekiti wa ujumbe wa matibabu na
mwenyekiti ya kamati ya kamati ya matibabu kwenye kamati ya olimpiki ya kimisri
aliugawa madaktari waliopo kila siku kwenye maeneo ya ushindi yanayofanika
kwenye uwanja nyingi na sabuli ili kuwa uwepo na wachezaji kupambana madhara ya
dharura.na hilo lilisemwa na wachezaji wote;kocha;na kuwajibika na ujumbe wa
kimisri.
ujumbe wa kimisri uliambatana naye kwa Misri madawa yoyote
na vyombo na mahitaji pamoja na kitanda cha matibabu nchini Morocco.
ujumbe wa kimisri iko tayari kwa kufuata wachezaji katika
kuchukua madawa kuepuka madawa yanayoingia chini ya maada za kusisimua hasa
katika hali za baridi iliyoonyeshwa na wachezaji.
anayeongozwa ujumbe huu dokta Hasan Kamal mwenyekiti wa kamati
ya matibabu na wajumbe wa kamati nia wajumbe wa kamati ni dokta Ahmed Mosad na
dokta Amina Abdel fatah na Dokta Ahmed Soaudi na Dokta Ahmed Aboel fadhl na
Esam Shinawi;Zinab Abdel halim;Kadri Al mur wataalamu wa tiba ya mwili na
aliyoambatana timu ya mpira wa mkono Amr Asem mtaalamu wa tiba ya mwilii.
mashindano ya michezo ya kiafrika nchini
Kadhablanka;Sala;Ribat na Gadida.
Comments