Mohamed El_Hami anashinda medali ya shaba ya mazoezi ya viungo vya mwili katika michezo ya kibnafasi kwa ujumla kwa kikao cha michezo ya kiafrika .

 Mohamed El_Hami ni mchezaji wa timu ya Misri kwa mazoezi ya viungo vya mwili alishinda medali ya shaba kwa mashindano ya mazoezi ya viungo vya mwili katika michezo ya kibnafasi kwa ujumla kwa kikao cha michezo ya kiafrika kinachofanyawa nchini Morocco .

 

Wachezaji wa Algeria walifainikiwa katika kushinda medali mbili ni medali ya dhahabu na fedha .

Wachezaji wa nne wa kike walikaribiti kwa fainali ,na wanaume wachezaji watano walikaribiti juu ya vifaa sita mbalimbali .

 

Farah Ahmed alipatia jana nafasi ya kwanza na medali ya dhahabu kwa mashindano ya mazoezi ya viungo vya mwili katika michezo ya kibanafsi kwa ujumla katika kikao cha michezo ya kiafrika kinachofanyawa nchini Morocco .

 

Mchezaji wa Misri ni Farah Sayed alikuja katika nafasi ya pili na medali ya fedha ili mazoezi ya viungo vya mwili wa kimisri inashinda katika michezo ya kibnafsi kwa ujumla na kuhakiksha medali ya dhahabu na fedha .

 

Timu ya wanawake alishinda medali ya dhahabu kwa timu ya ujumla ya wanawake .

 

Ujumbe wa timu unajumuisha Ali Abo Elqasim ,Mohamed Mntasr ,Ziad Khatr ,Karim Ayman ,Mohamed El_Hami ,Nancy Tman ,Farah Ahmed ,Farah Sayed ,Mandy Asam na Zina Ibrahim .

 

Kifaa cha kifundi kinajumuisha Gamal Matr ni mkurgunzi wa kifundi kwa wanaume Ashraf Elshafeaa ni mkurgunzi wa kifundi wa kike pamoja na Amany Gamal Eldin ,Ahmed Abd Eel Rady ,Ziad Al_Hosary na Amr Talat .

Comments