Waziri wa michezo apongeza mchezaji wa Taekwondo Mohammad Ayman baada ya kufuzu midali ya dhahabu katika kombe la Rais
- 2019-04-08 15:29:57
D.K.t
Ashraf Sobhi Waziri wa vijana
na michezo amempongeza mechezaji wa
timu ya taifa ya Misri ya Taekwondo
Mohammad Ayman baada ya kufuzu kwake midali ya dhahabu katika michuano
ya kombe la Rais "Nchini Morroco" ya uzito wa juu ya 87 k.g.
D.K.t Waziri
wa vijana na michezo amesifu mafanikio yanayofanywa na timu za kitaifa, na amesisitiza kuwa wizara inaunga mkono na wote ili kuhakikisha tuzo na mafanikio zaidi na kuinua (kubeba) nembo ya Misri katika michuano tofauti ya kitaifa nay a kimataifa.
Ayman alipata
midali ya dhahabu baada ya kushinda mchezaji wa Gabon Antomi Obami mwenye midali ya
dhahabu ya Olimpiki ya London na midali
ya bronzi katika mashindano ya dunia 2015.
Ayman
katika robo ya fainali alikuwa ameshinda mbingwa wa Niger
Abd Al-aziz Isofo mwenye
midali ya fedha katika
Olimbiki ya Riu 2016 na midali ya dhahabu katika michuano ya dunia 2017.
Timu
ya taifa
ilikuwa imeshiriki katika
mashindano ya ya michuano kwa
wachezaji 11 waume na wa kike
Comments