Waziri wa vijana na michezo anawapongeza timu ya kitaifa ya vijana wa mpira wa wavu kwa kufikia nusu ya fainali ya michuano ya dunia

 Waziri wa vijana na michezo, Dokta Ashraf Sobhy amewapongeza wachezaji wa timu ya kitaifa ya Misri ya vijana na wafanyikazi ya kiufundi baada ya kufuzu dhidi ya timu ya kitaifa Bila Urusi  kwa tija ya kipindi tatu safi katika mechi ya zamu ya 8 inayochezwa kwa timu mbili za kitaifa hizo miongoni mwa mashindano ya michuano ya dunia ya mpira wa wavu kwa vijana chini ya miaka 19 na inayofanyika sasa nchini Tunisia.

 

Kupiga simu hiyo inayofanywa na Waziri wa vijana na michezo kwa ujumbe wa Kimisri imekuja baada ya kumalizika kwa mechi, akielezea kwao juu ya matamanio yake kwa kuhakikisha ufuzu kwa kombe la dunia baada ya kufikia mraba wa kidhahabu, akiashiria kuwa wachezaji wa timu ya kitaifa ya Misri watapokelewa kwa mapokezi mazuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kairo baada ya kurudi kwao kutoka nchi ya Tunisia, pia wizara itafanya vitendo vinavyohusiana na ulipaji wa zawadi kwa wachezaji wa timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa wavu kwa vijana katika hafla ya Ushindi katika awamu mbalimbali za michuano hiyo.

 

Waziri ameongeza kusema kuwa kinachohakikishwa na timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa wavu kwa vijana ni mafanikio ya michuano ya dunia inayofanyika nchini Tunisia, akisisitiza kuwa bila shaka kuna usimamizi mzuri na utendaji kwa timu ya kitaifa hiyo, na hii ni hali ya kudumu katika kazi ya miungano ya kimichezo sasa, akielezea matarajio yake kuwa timu ya kitaifa ya mpira wa wavu inahakikisha  mafanikio yasiyotarajiwa kwa kufuzu kwa kombe la dunia kama kilichofanywa na timu ya kitaifa ya vijana wa mpira wa mikono kwa ushindi kwa kombe la dunia katika michuano iliyofanyika nchini Macedonia ili Misri inashuhudia kwa mara ya kwanza katika historia ya michezo ya Kimisri kuwa timu mbili za kitaifa kwa vijana zinahakikisha kombe la dunia katika mwezi mmoja, kwa msaada wa uongozi wa kisiasa wa Kimisri na makundi tofauti ya kijamii.

 

Dokta Ashraf Sobhy amesisitizia kutoa misaada kwa timu za kitaifa zinazoshiriki katika michuano ya kimichezo ya kimataifa na kuhimiza kwa wachezaji ili kuhakikisha mafanikio yasiyotarajiwa katika michezo za pamoja na michezo za kibinafsi kwa ajili ya kuongeza kwake kwa orodha ya mafanikio ya kimichezo ya Kimisri, akiashiria uratibu wa daima pamoja na miungano ya kimichezo na kamati ya Olimpiki ya Kimisri ili kuandaa wachezaji wa kipekee ili kuwakilisha kwa nchi ya Misri katika michuano mbalimbali na ushindi kwa michuano hii na kuleta kwa furaha kwa Wamisri.

 

Inatajwa kuwa timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa wavu kwa vijana inachukua nafasi ya kwanza ya kundi la tatu katika michuano ya dunia nchini Tunisia, baada ya ufuzu katika mechi zake za nne zinazocheza katika kundi hilo, na inaanza kwa ufuzu dhidi ya timu ya kitaifa ya Ujerumani, bingwa wa Ulaya kwa tija 3-2 katika idadi ya kipindi, kisha ufuzu dhidi ya timu ya kitaifa ya Argentina kwa tija 3-1, pia ufuzu dhidi ya timu ya kitaifa Japan, bindwa wa bara la Asia kwa tija 3-2 na ufuzu dhidi ya timu ya kitaifa ya Mexico mwishoni mwa mechi zake katika kundi kwa tija 3-0.

Huku imeweza kuhakikisha ushindi dhidi ya timu ya kitaifa ya Nigeria katika zamu ya 16 kwa tija 3-0 katika idadi ya kipindi.

Comments