Angola ni nchi
ya kusini mwa Afrika inayopakana na Namibia upande wake wa kusini, Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo katika upande wa kaskazini na Zanzibar kwa upande wa
mashariki. Mji wake mkuu ni Luanda.
ilijitangazia
uhuru wake mwaka 1975 KOTOKA Koloni la zamani la Ureno . Mwaka huo huo, nchi hiyo hiyo
yenye raia milioni 22 ikaingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe
vilivyomalizika mwaka 2002.
Timu ya soka
ya taifa la Angola iliundwa mwaka 1979. Kapteni mkuu wa timu hiyo ni Romero Filmon.
imepata nafasi
ya kushiriki katika michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mara saba: 1996 -
1998 - 2006 - 2008 - 2010 – 2012 - 2019.
Wachezaji wa
soka ya taifa la Angola ni:
Golikipa |
22 Adilson Cipriano Dacroz 22 Antonio Dominique 1 Joao Luis Mamona |
Beki |
13 Kisanga Bartolomo Jacinto Amadeo Manuel Felipe 3 Antonio Luis de Santos Cerrado Danny Alfonso Fabrizio Mavota 10 Francisco Zoella Marco Erosa 15 Miguel Geraldo Quayamé 20 Reggio Congo Zalata Silva Kosanda |
Kiungo |
Adereto Elvis de Carvalho Ari Babel 8 Deniz Osvaldo Paulo João 11 Sebastiao Amaral Freddy Balindi 18 Hermangildo Bartolomeo Isaac Jacinto Mundo Dalla Manusho Deniz Manuel Gaspar da Costa Manuel Cavumana Robin Jovay |
Washambuliaji |
Adriano Belmiro Duarte Julio Alfonso Arsenio Love Capangola 23 Boa 8 Dale Gelson 7 Djalma Campos International Menga Duravaldo Dias Manucho Goncalves Matthews Galliano
Costa |
Comments