Mayar Ahmed anajiandaa kwa fainali ya kibinafsi ya wanawake katika Tenisi ya chini na Mohammed Safwat na karim Maamon wanacheza katika mechi za kibinafsi za kabla ya fainali kwa wanaume

 Bingwa mmisri Mayar Sherif Ahmed alijiandaa kwa fainali ya kibinafsi ya Tenisi ya chini baada ya kushinda kwake juu ya mpinzani wake mmisri lamis Elhosiny na itamkabili katika fainali Shanil Simonis mwafrika kusini ,leo 

 

Na katika mashindano haya haya wachezaji wawili wamisri Mohammed Safwat na Karim Maamon wanacheza katika mashindano ya mechi za kibinafsi za kabla ya fainali kwa wanaume

 

Inastahili kutaja kwamba ujumbe inachukua nafasi ya kwanza katika jedwali la mchezo wa mashindano kwa mizani ya medali mia na arubaini na tatu za tofauti zinajumuisha medali  arubaini na moja za kidhahabu , sitini na nne za kifedha na thelathini na nane za shaba

Comments