Zimbabwe ni
taifa lililozungukwa na nchi kavu kusini mwa Afrika, katikati mwa mito ya
zambezi na Limpopo.Inapakana na Afrika Kusini, Zambia, Botswana na Msumbiji.
Mji mkuu wa Zimbabwe ni Harare.
Nchi hiyo
yenye wakaazi wapatao milioni 13 wa makabila tofauti inazungumza lugha 16,
ambapo lugha za kiingereza, Shona, Ndebele ndiyo zinazozungumuzwa kwa kiwango kikubwa zaidi. Nchi hiyo imetawaliwa
na Rais Robert Mugabe tangu ilipopata uhuru wake mwaka 1980. Na Rais wa sasa wa
Zimbabwe ni Emmerson Mnangagwa.
Timu ya soka
ya taifa la Zimbabwe iliundwa mwaka 1965. Kocha mkuu wa timu hiyo ni Calisto
Basua.
Zimbabwe
imepata nafasi ya kushiriki kwenye kombe la mataifa ya Afrika kwa mara ya
kwanza mwaka 2004.
Wachezaji wa soka ya taifa la Zimbabwe :
Golikipa |
Donovan Bernard Takapva Maoya Tatana Makorova |
Beki |
Bruce Canagua Costa Namuanesu Elisha Moroywa Hardplay Zvirikwe Lawrence Mahlanga Uniseem Bhasira Oscar Mashapa Tennagh Hadibi |
Kiungo |
Danny Ferry Khama Biliat Kodakoashi Mahashi Marvelos Nakamba Willard Katsandi. |
Washambuliaji |
Cuthbert Malagella Evans Rosick Knoledge Mosuna Mathayo Rosicky Niyasha Moshikwe Tendai N'Doro Tenotinda Cadwere |
Comments