Baraza kuu la vyombo vya habari linashuhudia sherehe ya kuhitimu kwa kundi la nne la watangazaji wa Afrika
- 2019-08-29 12:05:55
Kituo cha mazoezi na masomo ya utangazaji kilicho chini ya Baraza kuu la utangazaji kimeshuhudia sherehe ya uzinduzi wa kozi la arubaini na nne la watangazaji wa Afrika wanaozungumzia kifaransa inayofanyika kwa ushirikiano wa wizara ya mambo ya nje katika makao ya Kituo cha mazoezi na masomo ya utangazaji katika ghorofa ya tisa katika jengo la ushirikisho la utangazaji na runinga.
Dokta Essam Farg karibu mkuu wa Baraza kuu la utangazaji na
Dokta Hoda Zakaria na mwandishi wa Habari Saleh Alsalehy mwanachama wa Baraza
kuu la vyombo vya habari wameongoza sherehe.
Dokta Hoda Zakaria mwanachama wa Baraza kuu la utangazaji
amesema kuwa Bara la Afrika linazingatiwa Bara Tajiri zaidi kwa vyanzo vyake na
rasimali zake .
Lakini wakazi wake wanaosumbua zaidi ulimwenguni. Kupitia
hotuba yake katika uzinduzi wa kundi la arubaini na nne la watangazaji wa
Afrika ameongeza kusema kuwa Misri kwa historia yote inatuchukua kwa Afrika
tunaipenda na inatupenda.
Mwanachama wa Baraza amesisitiza kwa umuhimu wa kurudisha
Misri Tena kwa jukumu lake na cheo chake barani Afrika baada ya kuipoteza
mwishoni mwa mwaka 1994.
Wanafunzi wa Afrika kumi na tatu wanashiriki katika kozi nao
ni kusini mwa Sudan, seralyon, Malawi,Liberia, Mozambiq, Nigeria, betswana,
Cameron, Rwanda, Kenya, Uganda.
Wamehitimu kutoka Kituo hadi sasa mhitimu 4072 kama inawapa
wanafunzi masomo ya kinadharia na kisayansi inayoendeleza katika nyanja ya
utangazaji mbalimbali inayosikika, inayosomwa na inayoandikwa pamoja na
upatikanaji wa uangalifu wa afya kwa wanafunzi na kuandaa ziara za kitalii na
starehe.
Ili kujua ustaarabu wa kimisri wa zamani na kisasa.
Kozi linaendelea kwa wiki saba na watangazaji wakubwa,
wataalamu na walimu wa chuo kikuu wanaongoza mazoezi.
Comments