Kisho : nimejiahidi nafsi yangu kwa kushinda medali ya kidhahabu inanitia shauku kwa Tokyo 2020

 Mchezaji wa mweleka Mohammed Ibrahim (kisho) mchezaji wa timu ya kimisri kwa mweleka alieleza furaha yake kwa kushinda kwa medali ya kidhahabu yenye uzito wa 67 baada ya kushinda kwake kwa bingwa wa Tunisia 8-0 na aliingia mashindano yanayopelekea kushinda kwake kwa bingwa wa Morocco 8-0 , bingwa wa Algeria 8-0 na bingwa wa Nigeria 8-0 na alifikia fainali

 

Kisho alisema : Mimi nimejiahidi kwa kushinda na ninazingatia duru ya michezo ya kiafrika kama mazoezi mazuri na kichocheo cha maadili kinanifurahisha kwa olimpiki ya Tokyo 2020 na nitafanya vizuri zaidi ili kudumisha kiwango changu bali kuinua kwa kiwango cha juu ambacho kinafikia matarajeo na matumaini wote waliweka imani yake katika utendaji wangu na kufikia medali ya kiolimpiki

 

Na ushindi huu ulikuja kwenye uwanja wa Elgadida mjini mwa Elgadida na hivyo ni katika mfumo wa matukio ya duru ya michezo ya kiafrika inayokaribishwa nchini Morocco kupitia kipindi cha 16 mpaka 31 mwezi  wa Agosti

 

Kisho aliwashukuru Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo ,  Essam Nawar mkuu wa umoja wa kimisri wa mweleka , bodi ya wakurugenzi , Benki ya kitaifa ya kimisri ambayo ni mfadhili wake rasmi - na wa  timu ya mafarao ya kiolimpiki ambayo ni yake - inayompa msaada mkubwa kupitia kipindi kipitacho , kama aliwashukuru viungo vya spoti kwa juhudi na misaada yao ili kutoa mazingira ya mafunzo bora kabisa hadi kushinda medali ya kidhahabu katika harusi (mashindano ) makubwa ya kiafrika

Comments