Waziri wa vijana na michezo anakutana Dokta Ali Jumaa ni Mufti mkale wa dari ya kimisri
- 2019-08-30 16:29:59
Dokta Ashraf Sobhy ni waziri wa vijana na michezo alipokea Dokta Ali Jumaa ni Mufti mkale wa dari ya kimisri zamni ,mwenyekiti wa baraza la wadhamini wa tassisi (Misri ya heri ) ili kutafuta njia za ushirkiano unaoshirki na kusema kuhusu matukio ya kampine (Maadili na Maisha ) zinazotekelzwa ndani ya vituo vya vijana katika mikao kuenea misingi mizuri katika jamii .
Mkutano
anaendeleza kwa maandalizi ya wizara wa vijana na michezo yanayohusiana kwa
kukaribisha Misri kwa matukio ya mkutano wa kiarabu skauti ni ishrini na tisa
na mkutano wa vijana wa skauti ni nne katika kipindi 1 mpaka 12 mwezi wa
sebtemba ujao mjini wa vijana mjini Sharm El_Shiekh ,kuchangia kwa tassisi ya
Misri ya heri katika kuimrisha mkutano wa kiarabu wa skauti utafanywa mjini
Sharm El_Sheiekh mwaka wa ujao kwa kuhudhuria washiriki elfu 3 kutoka nchi za
dunia mbali mbali .
Pia mkutano
alijadili pendekzo la kufanya sherhe mkoani luxor katika mwezi wa septemba ujao
kuheshimu wenye wa mpango wa kuharkisha wa vijana wa mzuri ambao umeshapendekza
katika kampine (Maadili na Maisha ) kulenga kuwafundisha vijana na kuwajua kwa
misingi mizuri ya Maisha .
Dokta Ashraf
Sobhy alisistizia ushiriki mzuri pamoja na taasisi ya Misri ya heri katika
kutekleza mipango inayolenga kwa kuendelea hisi ya vijana ya misri ,na kufanya
juu ya kuenea kundi ya misingi na misingi mizuri katika jamii ya misri ,na
kusistizia maendelea kati ya vipande vya jamii .
Waziri wa
vijana na michezo alitaka kwamba Dokta Ali Jumaa anakuwa ni msemaji wa rasmi
katika kikao kinachofungua kwa mkutano wa kiarabu wa scout wa nne ,akishiria
juu ya umuhimu wa harkati ya scout ndani ya jamii ,na zama yake katika kuunda
tabia mzuri unayoweza juu ya kuendeleza maendeleo katika sekta mbali mbali .
Comments