Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwenye Rehema mwingi wa kurehemu
Mheshemiwa / Shenzo Abi " Waziri Mkuu wa Japan", Waheshemiwa wakubwa Marais wa dola na serikali za kiafrika
Mheshemiwa / Musa Fakih " Rais wa Kameshina ya Umoja wa kiafrika
Mabibi na Mabwana washirikia waandaji wa kilele cha TECAD
Hadhira waheshemiwa,
Mwanzoni napenda kuelezea Heshima kwa Bwana Shenzo Abi " Waziri Mkuu" wa Japan na wananchi wa Japana kwa mapokezi yenye heshima kubwa , maandalizi mema, na kwa Juhudi zilizotolewa kwa ajili ya kuandaa kilele cha saba kwa mkutano wa kimataifa wa Tokyo kwa maendeleo barani Afrika " TECAD" unaoanzisha shughuli zake leo huko Yukohama, Nchi ile ya Japan ambayo daima hufungua milango ya Japana kwa kushirikiana na kutendeana pamoja na nyingine.
pia nataka kutoa shukurani kwa washiriki waandaji kwa maandalizi bora ya shughuli kwa kilele kile, na juhudi zinazotolewa daina nao kwa ajili ya kuimarisha Ushirikiano kati ya Afrika na Japan.
Mabibi na Mabwana,
Furaha kubwa sana kwangu kwa kuongea leo mbele ya mkusanyiko adhimu kama huu , unaojumuisha Afrika pamoja na mshiriki mmoja wa washiriki wenye mikakati na mipango inayosisitiza juu ya Ushirikiano na kuhakikisha faida za pamoja kwa lengo la kusonga mbele juhudi za maendeleo katika nchi za bara la Afrika tangu uanzishi wake mwaka wa 1993. nami leo naweza kuthibitisha kwamba kupitia TECAD ushirikiano wetu ulihakikisha mafanikio mengi na ulitendea kwa njia chanya pamoja na masuala ya kimataifa na kikanda .
Leo,naongea pamoja na nyinyi , nami nawahi kiasi cha changamoto ambazo bado hupambana nchi zetu na huathirika ushirikiano wetu, wakati wa hali ngumu ya kiuchumi na kibiashara, pamoja na matarajio hasi ya kurudisha ukuaji wa kimataifa , kuongeza kiwango cha ukosefu wa ajira hasa kati ya vijana , na kuzidisha uvumi wa uhalisia wa kubadilisha hali ya hewa, na yanayotokea ulimwenguni kama mizozo ya misimamo mikali na Ugaidi , linalozidisha changamoto zinazopambana nchi ya kitaifa, mnamo wakati wa kuongeza matarajio ya wananchi pamoja na nadra ya vyanzo na ubaya wa kugawanyika, wakati ambapo hali zile zinatulazimisha kuimarisha ushirikano wetu wa pande zote za kimaendeleo.
Mabibi na Mabwana,
tunakutana leo chini ya kauli mbio ya " Ukuaji wa maendeleo ya Afrika kupitia Wananchi, Teknolojia, na Ubunifu" nacho kichwa kinacho maana nyingi , kinatengeneza njia ya ushirikiano pamoja, ambapo kuhamisha Teknolojia , kuunga mkono programu na mipango ya kuendeleza vipaji vya Afrika, kuongeza rasilimali zake za binadamu, na kuliboresha kwa dhana za leo , hayo yote huenda pamoja na mtazamo wetu wa ukamilifu wa bara letu , ambazo kwa kweli huzingaatiwa hatua za kimisingi za kuhakikisha malengo ya Ajenda yetu ya kimaendeleo 2063 na kutekleza malengo ya maendeleo endelevu 2030.
kulingana na hayo , nawaiteni kuongeza ushirikiano wetu wa kielimu na kimaendeleo kwa ajili ya kunufaika toka uwezo wa asili wa bara la kiafrika katika kutofautisha vyanzo vya nishati, kupitia kusisitiza miradi ya nishati yenye upya na safi , linalochangia kupunguza matokeo ya kimazingira kwa uhalisia wa kubadilisha hali ya hewa. ambapo Afrika hufanya kazi ya kulinda sayari yetu kulingana na mkataba wa Paris kwa hali ya hewa , basi linaziita nchi zalizoendelea kuthibitisha kwa mikataba yake, khasa nchi zile ni zenye athari kubwa kwa hali ya hewa ya ardhi na zenye nafasi kubwa zaidi ya kunufaika toka vyanzo vyake.
kulingana na kipaumbele kinacho na kileel cha saba cha TECAD kwa mchango wa sekta binafsi, kwa jina la Afrika ninaziita taasisi za sekta binafsi za kimataifa , mashirika ya kkimataifa yenye utaifa kadhaa ili kuwekeza barani mwetu, basi masoko ya Afrika yapo wazi, hali za uwekezaji zipo tayari, mikono yetu ipo ili kusaidiana , ardhi zetu zina nafasi na rasilimali, na utashi wetu wa kujenda mustakbali ya bara letu katika nyanja tofauti upo daima.
pia nazaita taasisi za fedha za kimataifa, kibara, na kikanda kuchangia kugharimia maendeleo barani Afrika , na kutosheleza dhamana za kifedha kwa ajili ya kujenga uwezo wa bara, linalochangia kuimarisha biashara na kuongeza uwekezaji, na daima nazikumbusha kwamba kila bara lina vyanzo vyake maalumu , na kila nchi ina hali yake maalumu, na wakati umeshafika kwa taasisi za fedha za kimataifa ili kutoa masharti ya kugharimia juhudi za maendeleo barani Afrika.
na pamoja na yaliyopita, napenda kuashiria mihimili mitatu ambayo lazima kuisisitiza haraka kwa ajili ya kubadlisha Afrika kwa Mshiriki wa kiuchumi tunayemtaka sote,
Kwanza: kuboresha Miundombinu ya kiafrika, kupitia kutekleza miradi isiyo na mipaka , khasa miradi inayopatikana miongoni mwa vipaumbele vya Umoja wa kiafrika kama kuunganisha Kairo na Cape Town kwa njia ya ndege, mradi wa kuunganisha Umeme kati ya kaskazini na kusini, kuunganisha Bahari ya kati na Ziwa la Victoria, miradi ya Reli na njia, na miradi ya kuzalisha nishati endelevu.
Pili : kutekleza awamu zote za kiutendaji kwa eneo huru la biashara la kibara la kiafrika , linalochangia kupunguza bei za bidhaa kadhaa , kuongeza nafasi ya mashindano ya bara la Afrika ulimwenguni, na kuongeza kuvutiwa kwa viwekezaji kwa ajili ya kutekleza na kuboresha uchumi wa bara.
Tatu: kipsumbele cha kuhangaika kwa ajili ya kutosheleza nafasi kadhaa za Ajira na kuongeza kufanya kazi khasa kwa vijana, jambo linalohitajisha kukusanya viwekezaji vya kitaifa na kimataifa, kuvutia rasilimali, na kutaifisha Teknolojia. na kichwa cha kilele lilikuja kwa ajili ya kutoa mtazamo mpya wa kushirikiana kati ya nchi za Umoja wa kiafrika na Japana, kinasisitiza misingi ya Binadamu mwafrika kupitia kuhimiza makada vijana waafrika kwa Ubunifu kwa ajili ya kuhudumia nchi zake na wananchi wake.
Mabibi na Mabwana,
kulingana na ushikamano unaopo sasa kati ya kuhakikisha maendeleo na kulinda Usalama na Utulivu , basi tunaheshimu uungaji mkono wa TECAD kwa mpango wetu mwenye matarajio ya kuficha Bunduki pembeni mwote mwa Afrika kwa kufikia 2020, na nyinyi wanajua vizuri kwamba njia bado ni ndefu kwa ajili ya kuficha jambo kali lile kutokana na historia ya mizozo, lililokwamiza amali za maendeleo na limetengeneza mazingiza mema kwa maradhi ya Msimamo mkali na Ugaidi.
kutoka haopa nasisitiza juu ya haja kubwa ya kuunga mkono siasa ya Umoja wa kiafrika kwa ajili ya kurudisha maendeleo mnamo awamu ya baada ya migogoro, na kituo cha Umoja wa kiafrika kwa ajili ya kurudisha maendeleo mnamo awamu ya baada ya mizozo , kinachofanya kazi ya kulinda nchi kutokana na mizozo dhidi ya hatari za kuchochea , na kujenga uwezo wa taasisi za nchi ili kufanya michango yake ya kulinga nchi zake kwa ajili ya kuthibitisha Utulivu na Amani.
Mabibi na Mabwana,
nipe nafasi ya kuwaarifu tena nilichokitaja tangu niliongoza Urais wa Umoja wa kiafrika mwaka huu , kwamba ushirikiano pamoja na Afrika ni nafasi kubwa kwa ajili ya kuhakikisha faida za pamoja, Uwekezaji mwenye mafanikio ya kiuchumi, kimaendeleo, na kiamani. Afrika linaposhughulikia kuimarisha ukamilifu wake lipo wazi kwa ulimwengu wote, nasi tutahangaika kuimarisha ushirikiano pamoja na washiriki wa bara wa sasa ili kuidhinisha mipango ya kuitekleza , inayorudishwa kwa wananchi kwa tija bora.
Na mwishoni nasisitiza juu ya matarajio yangu kwa kutoa kilele chetu kwa tija bora inayoweza kuteklezwa kwa ajili ya kusonga mbele ushirikiano kati ya Japan na nchi za Umoja wa kiafrika ,khasa wakati wa matarajio ya wananchi wetu kwa tija ya kilele kile, basi kwamba lengo linalotarajiwa ni kutafsiri maamuzi na mapendekezo yatakayotolewa kutokana na kilele kwa hatua za shughuli za kweli , zinazodhamini kuendeleza mafanikio yaliyohakikishwa kati ya Japan na nchi za Umoja wa kiafrika na mahusiano ya ushirikiano tangu miungo iliyopita, na kukamilisha mwelekeo wetu kwa ajili ya kuhakikisha Faida za pamoja.
asanteni sana...
( Alsalam Alaykum wa rahmat allah wa barakato)
"Salamu , Rehema, na Baraka za Mwenyezi Mungu juu yenu"
Comments