Ujumbe wa Misri umefikia kairo baada ya kushirikia michezo Bonde la Nile nchini Rwanda.

Ujumbe wa Misri, uliomshirikia katika Michezo ya Bonde la Nile iliyofanyika katika mji wa Hwei , Rwanda . katika kibindi cha 2 hadi 6 Aprili 2019 , umefikia kairo Jumanne mapema.

 

 

Ujumbe huo uliongozwa na Mheshimiwa Sharif Al-Arian, Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki, Mkuu wa Utume, Yahya Dabbas, mwanachama wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kamati ya Olimpiki na Naibu Mkuu wa ujumbe, na ujumbe wa idara uliojumuisha Lamis Ghazi, Mahmoud Hamdi na Daktari wa ujumbe Ahmed Massad.

 

Jenerali Mkuu Jasser Riad alikuwepo na Ujumbe wa Misri ,yeye ni Raisi wa Umoja wa Afrika wa Kamati za Olimpiki (ANOC), ulioifanya mikutano yake kando ya michezo wa Bonde la Nile.

 

Misri ilipata medali tofauti 15 nazo ni: dhahabu tatu, fedha nane na bronzi nne.



Comments