Amal ismail alishinda
medali ya shaba ya upinde na mshale katika ushindano wa wanawake kwenye michezo
ya kiafrika inayofanika sasa nchini Morocco.
Amal Ismail ilishinda
na nafasi ya tatu na mbingwa wa Afrika kusini.
wachezaji wa pili
Yosef Tolba na Riem Mansor walishinda na medali ya dhahabu.
T.imu ya kimisri
ilishinda medali ya dhahabu kwa wanaume alifuzu na medali hii Yossef Tolba na
sherif Ashraf na Bahaa Ali.
Timu ya wanawake
ilishinda na medali ya dhahabu ya timu na inakusanya Riem Mansor na Mira Al
Shama na Amal Ismail.
Dokta Alaa Gaber
naibu ya mwenyekiti wa kamati ya olimbiki na Rais wa muungano wa upinde na
mshale alihudhuria mechi ya fainali.
Timu hii inaongozwa
na mkurugenzi wa ufundi Maged Mohi na inayeongoza ujumbe hii Riham Swailam
mjumbe wa baraza la Muungano la upinde na mshale.
Comments