Timu ya upinde na mshale inashinda dhahabu ya wachezaji wawili kwenye kikao cha michezo ya kiafrika

 Timu ya wachezaji wawili ya upinde na mshale ilishinda dhahabu mpya iliyoongezwa kwa usawa wa ujumbe wa wa kimisri  unaoshiriki kwenye kikao cha michezo ya kifrika klichofanyika sasa  huko Morocco.

 

Timu ya wachezaji wawili  ilishinda medali ya dhahabu baada ya kuifuzu Namibia katika fainali mjini Moulay Rachid ya kimichezo mjini Rabat.

 

Kama wachezaji wawili  wa Youssef Tolba na Reem Mansour ,mechi ya fainali hiyo ilihudhuriwa na Dokta Alaa Gabr Makamu wa Rais wa Kamati ya Olimpiki na Rais wa Shirikisho la upinde na mshale.

 

Timu ya Misri ilishinda dhahabu ya wanaume kwa wachezaji Youssef Tolba, Sharif Ashraf na Bahaa Ali.

 

Timu ya wanawake ilishinda dhahabu ya timu hizo na ni pamoja na Reem Mansour, Mira Shamaa na Amal Ismail.

 

Kwa hivyo, Misri kwa wanaume na wanawake ilifikia kikao cha michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020.

 

Timu hii inaongozwa na mkurugenzi wa kifundi Majid Mohi ,Ujumbe unaongozwa na Reham Swelam mwanachama wa bodi ya  Shirikisho la upinde na mshale.

Comments