Hossam Marghany ameshinda dhahabu ya uzani wa 96kg katika Mieleka huru kwenye michezo ya kiafrika iliyofanyika huko Morocco.
Samy Mustafa
ameshinda medali ya fedha katika mashindano ya uzani wa kilo 74 kg.
Gamal Abdel Nasser
alifanikiwa kupata shaba ya uzani wa 57 kg wakati Amr Reda kwenye shaba ya
uzani wa 65 kg na khaled Masod kwenye shaba ya uzani 86 kg.
Kama , bingwa wa
kuinua uzito mmisri, Khaled Khalil aliongeza medali ya dhahabu kwa ujumbe wa
kimisri unaoshiriki katika Michezo ya
Afrika.
Bingwa Khaled Khalil alifanikiwa kushinda medali ya Mieleka katika uzani wa kilo 125 ili kuipa Misri medali ya thamani.
Ni muhimu kukumbuka
kuwa Misri kwa medali hii ya dhahabu
imefikia rekodi ya kihistoria
isiyo ya kawaida kushinda medali za dhahabu 101 hadi sasa katika mashindano.
Comments