Wachizaji wenye thamani kubwa zaidi katika michuano ya mataifa ya Afrika .. Mohammad Salah mwazoni .

Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika n. 32 , imekaribia kufanyika , amabayo Misri ni mwenyeji wake katika mwezi wa juni ujao .

Katika michuano yote (31) iliopita , timu ya taifa ya Misri ilifuzu kwa mashindano 7 , yalikwemo tatu nyumbani mwake ( 1959 – 1986 – 2006)

na nne nje ya nyumba yake : Sudan 1957 , Burkina Faso 1998 , Ghana 2008 na Angola 2010 ) .

kwa mara ya kwanza michuano itaundwa kwa  mataifa 24 , badala ya mataifa 16 kama ilivyotokea katika michuano iliopita . Pia imeripitiwa kufanyika kura ya michuano tarehe 12 ya mwezi Aprili wa sasa kwenye eneo la Piramidi .

Michuano la kombe la mataifa la Afrika hushuhudia daima kucheza vizuri kwa wabingwa wa bara , wanaofanya bidi kwa nguvu ili waongoze mataifa yao ili kupata tuzo ya (CAN) , ambapo mashabiki wa Misri wameweka tamaa yao kuwa mbingwa Mohammed Salah atawaongoza wa Farao ili wapate tuzo ya  nane .

Inayotarajiwa kuwa michuano ya mwaka huu itakuwa ya bora Zaidi , baada ya kuwepo idadi kubwa ya wabingwa hodari wanaocheza vizuri katika ligi kubwa za Ulaya , mwanzoni mwao Salah , Mane na Mahrez .

Mchezaji

Timu

Taifa

Thamani

Mohamed Salah

Liverpool

MISRI

£ 135 milioni

Sadio Mané

Liverpool

Senghali

£ 76,50 milioni

Kalidou Koulibaly

Napoli

Senghali

£ 63 milioni

Naby Keïta

Liverpool

Guinea

£ 58 milioni

Riyad Mahrez

Manchester City

Algeria

£ 54 milioni

Thomas Partey

Atlético Madrid

Ghana

£ 45 milioni

Nicolas Pépé

Lille

Côte d'Ivoire

£ 36 milioni

Franck Kessié

            Milan

Côte d'Ivoire

£ 31,50 milioni

Wilfried Zaha

Crystal Palace

Côte d'Ivoire

£ 31,50 milioni.

Wilfred Ndidi

Leicester City

Nigeria

£ 31,50 milioni

 

Comments