Mustafa Algamal: Medali ya kidhahabu ya kikao cha Michezo ya kiafrika hupa moyo kuelekea Tokyo

 Mustafa Algamal Mchezaji wa timu ya kitaifa ya  MIisri kwa michezo ya nguvu alionyesha furaha yake kwa  kushinda medali ya dhahabu katika michezo ya  kutupa nyundo  kwenye Michezo ya Afrika.

 

Al-Gamal alisema: ”nimefahari kwa kufanikiwa, na nimefanya mazoezi kwa nguvu na nimeazimia kushinda. Nitaendelea na njia yangu huo hadi Olimpiki ya Tokyo, na medali ya dhahabu inawakilisha maadili mema." Alishukuru pia Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo ya kimisri kama alishkuru wa Saif Shahen mkurugenzi wa muungano wa riadha na kama alishukuru kwa benki ya Alahly na -timu yake ya Mafarao ya Olimpiki - waliyowaunga mkono sana katika kipindi hiki cha mwisho, na pia asante kwa vyama vya michezo kwa juhudi zao za kutoka vizuri na kufanikiwa medali muhimu.

 

Ushindi wa Moulay Abdellah huko Rabat ulikuja ndani ya mraba wa kikao cha michezo ya kiafrika iliyokuwa inashikiliwa na Moroko katika kipindi cha kuanzia tarehe 16 hadi 31 Agosti 2019.

Comments