Bunge la kiafrika linakaribisha siasa za chuo kikuu cha Kairo katika ushirikiano na dola za bara la Afrika
- 2019-09-02 11:26:11
Naibu wa mwenyekiti wa mkusanyiko wa bunge kwa nchi za
Afrika kaskazini na mshauri wa bunge la Afrika.alisisitiza kwamba umuhimu wa
kufanya ufanisi wa Fomu la masimulizi kwa bunge la Afrika ambaye ilizindua kwa
mara la kwanza katika chuo kikuu cha kairo;chini ya dhamini Dokta Muhamed Osman
El khesht Rais wa chuo kikuu mnamo Septemba ujao kitivoni mwa masomo ya
kiafrika ya juu kwenye chuo kikuu.
Na katika kauli yake Al gindi alisifu Taarifa za Rais wa chuo kikuu cha Kairo
ambayo alisisitiza naye kuwa chuo kikuu kinapata ajenda kwa kipaumbele chake
kuunga mkono maoni ya kitaifa kuhusu suala la kiafrika na inachagua kw nguvu
katika faili kupitia na jukumu lake ya kitafiti na kielimu.Misri ina siasa
inajua kupitia naye umuhimu wa Afrika kama njia ya kiuchumi; kitamaduni;kisiasa
na kina ya mkakati.kueleza kwamba mradi wa elfu mkuu wa Afrika ni chaguliwa
kutoka chuo kikuu cha kairo katika mpango ambaye ilizindua na Rais wa Abd El
Fatah El Sisi kuwafundisha na kuwawezesha vijana waafrika elfu kumi.
Mwenyekiti wa makusanyiko ya bunge kwa nchi za Afrika
kaskazini alisema kwamba chuo kikuu cha Kairo hasa kwamba kuna wakuu wa kisiasa
chenye kiwango laini ndani ya dola za Afrika kutoka wahitimu wa chuo kikuu cha
Kairo.Khesht akieleza kuwa kufanya
mkutano zaidi kutoka mibango kushirikiano; utaratibu , kufanya kazi pamoja na
chuo kikuu tofauti ya kiafrika.
Al gindi ameeleza kuwa anaamini kamili kwa mpango wa
masimulizi wa bunge la Afrika kati ya wanafunzi wa chuo kikuu wa kwanza na
wanafunzi wa juu nchini Misri na dola tofauti za Afrika na wanaoshiriki katika
mpango elfu 1000 mkuu wa Afrika;na utafaulu na utatekeleza malengo yake yote
.alidai kwa utekelezaji mpango huo katika mara zingine ndani ya chuo kikuu cha
dola za bara ya Afrika.ili kubadilishana uzoefu kati ya chuo kikuu cha Kairo na
chuo kikuu cha kiAfrika kuonga mkono na kuimarisha ushirikiano wa kisiasa na
kijamii kwa vijana wa Afrika;na kuwatambua kwa historia ya bunge la Afrika na
jukumu yanayohusu na kamati yanaondoka naye.kuwafundisha kwa kundi la ustadi
ambayo yanawakusaidiana katika kuagiza dola yao na kubadilishana jukumu kati
yao na namna ya kufanya azimio ndani ya bunge na kamati inayofuatilia.
Rais wa makusanyiko ya bunge kwa dola za Afrika kaskazini
akieleza salamu ya moyo kwa Rais wa chuo kikuu cha kairo kwa mpango wake kwa
kipawa nakala elfu moja kutoka mbinu ya kufikiri ya ukosoaji inayofundishwa kwa
wanafunzi wa chuo kikuu cha mpango elfu 1000mkuu wa Afrika;na kuipata miongoni
mwa programu ya mazoezi kwa mradi inayofanya kwa kushiriki elfu 1000 na vijana
ambao wanaigiza dola 35 ya Afrika kutoka umuimu wa kufanya mazoezi kwa vijana
wa Afrika kwa kuendesha akili na fikiri ya ukosoaji katika kutetua matatizo na
uwezekano wa kuongoza kwa dhana ya kisayansi na kufanya mabadilisho ya chanya
katika jamii na dola yoa ya kiAfrika baada ya kurudisha nchi yao.
Al gindi alisisitiza kwa bunge la Afrika lina karibisha kwa
siasa za chuo kikuu cha Kairo na umuhimu mkubwa wa faili ya kuunga mkono
ushirikiano na dola za Afrika hasa kuwa mpango utakuwa una jukumu katika
utawala wa vijana wa kimisri na Kiafrika
mahala ya uongozi ndani ya Misri na dola za kiafrika.
Comments