Mchezaji wa Mieleka mmisri Samar Hamza alionyesha furaha
yake kwa kushinda medali ya shaba kwenye michezo ya afrika samar amesema : " medali ninayoithamini
na nahisi kuwa ninatembea mbele kuelekea Olimpiki ya Tokyo 2020
Samar alimshukuru waziri wa michezo na vijana Dokta Ashraf sobhy na alishukuru pia benki ya
kitaifa ya kimisri ( NBE) kama madhamini
wake rasmi na timu ya mafarao wa olimpiki ambayo alikuwa wa kwake aliyempa
msaada mkubwa katika kipindi cha mwisho
alishukuru pia viungo vya michezo kwa umahiri wao wa kufikia
kiwango cha juu cha kifundi , mwili na afya
na ushiriki wake katika kambi ya ukraine iliyompa nafasi
kubwa ili mvutano tofautitofauti na ushiriki wake katika mashindano ya zawadi
bora (grand prix) huko Uhispania na alipata medali ya shaba
ushindi huu ulikuja katika ukumbi mpya katika mji mpya kama
sehemu ya shughuli za michezo ya afrika iliyofanyika huko Morocco katika
kipindi cha kuanzia tarehe 16 hadi 31 Agosti
Comments