Wizara ya Vijana na Michezo inapokea mabingwa wa Misri wa michezo ya nguvu, kipera , kayaki na kuinua uzito
- 2019-09-02 11:32:12
Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa Vijana na Michezo amewateua viongozi kadhaa wa Wizara ya Vijana na Michezo kupokea kundi la kwanza la ujumbe wa kimisri wa mabingwa wa kikao cha michezo ya kiafrika kwenye michezo ya nguvu , kipera , kayaki na kuinua uzito waliowasili kutoka Ufalme wa Morocco, baada ya kumalizika kwa matukio ya kikao, katika Uwanja wa ndege wa Kairo.
Jenerali Mohamed Nour Mkurugenzi mtendaji wa Wizara ya
michezo,na Dokta Amr Al-Haddad msaidizi wa Waziri wa vijana na michezo kwa
maendeleo ya michezo.
ujumbe wa kimisri ulioshiriki kwenye Michezo ya Afrika
umepata mafanikio makubwa na rekodi ya juu ya kikao cha kumi na mbili, na
kuiweka kwenye kiti cha enzi cha bara la Afrika na kushinda idadi kubwa ya
medali katika hatua ambayo haijatarajiwa kufanikiwa kuvunja rekodi
iliyosajiliwa kwa niaba ya Misri mnamo 2015, ambapo Misri ilimalizika katika
kikao hiki. Na medali 273, dhahabu 102, fedha 98 na shaba 73.
inatajwa kwamba Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa Vijana na
Michezo alihudhuria mashindano ya mwisho ya kikao cha michezo ya Kiafrika
katika Ufalme wa Morocco, pamoja na kuhudhuria sherehe za hitimisho za kikao hiki.
Comments