Ujumbe wa Umoja wa kiafrika hukutana na viongozi wa vijana na michezo

Wizara ya Vijana na Michezo imekaribisha ujumbe wa kameshina ya Umoja wa kiafrika kwenye Diwani kuu ya Wizara, ambapo imekutana na idadi kadhaa ya viongozi, na hayo wakati wa maandalizi ya Jamhuri ya kiarabu ya Misri kwa kukaribisha programu kubwa zaidi ya kujitolea barani Afrika.

 

Ziara hii hutokea kwa ajili ya kutambua sekta tofauti za Wizara na harakati zake tofauti.

Na mnamo siku ya pili, matembezi ya kutafutia ya ujumbe yalijumuisha kukutana na Bibi Dina Fuad "Mwenyekiti wa Idara kuu ya Bunge na Elimu ya kiraia " nalo kwa ajili ya kujadiliana maelezo ya Ushirikiano wa pamoja wa kuandaa programu ya wanaojitolea wa Umoja wa kiafrika, ambapo Fuad alisistiza juu ya kutosheleza huduma zote kwa ajili ya kutoa tukio hilo kwa sura inayofaa kwa jina la Misri.

 

Pia ujumbe wa Umoja wa kiafrika ulikutana na Dokta Ahmed ElShekh " Mwenyekiti wa Idara kuu kwa masuala ya ofisi ya Waziri" wakati ambapo ujumbe ulieleza furaha yake kwa kutofautisha katika harakati za Wizara ya Vijana na Michezo kwa ajili ya kuimarisha shughuli za vijana waafrika, na kujenga uwezo wa uongozi kwa vijana wa bara na kuwapa nafasi ya kuitembelea Misri.

 

Na mnamo wakati ule ule Ujumbe kutembelea kitivo cha masomo ya kiafrika ya juu nao walikutana na Dokta Atia ElTantawy "Mwakilishi wa Kitivo cha masomo ya juu" na Dokta Rasha Abu Shakra " Mwanachama wa kufundisha" na hayo kwa ajili ya kutafutia njia za Ushirikiano wa siku za usoni kwa upande wa harakati za wanafunzi na Udhamini wa kimasomo.

Comments