Ujumbe rasmi na wa mwisho kwa ujumbe wa Misri ulioshiriki katika kikao cha michezo iliyofanyika hivi karibuni nchini Morocco

 Ujumbe huo uliongozwa na Mhandisi Hisham Hatab Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpiki, akiongozana na Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa Vijana na Michezo,na Mhandisi Yasser Idris mwanachama wa Bodi ya Kamati ya Olimpiki.

 

Ujumbe huo ulijumuisha ujumbe wa kiutawala na matibabu na timu nyingine   zilizomalizika ushiriki wao katika  mechi za mwisho za mashindano baada ya kukamilika kwa mipango yote ya malazi na kurudi timu zote kwa usalama kwa Kairo.

 

inatajwa  kwamba ujumbe wa Misri ulihakikisha  mafanikio  yasiyotanguliwa  kwa   kushinda idadi kubwa  ya medali kwenye kikao cha michezo kwa kushinda  medali tofauti  273, pamoja na miongoni mwao  medali 102 za kidhahabu .

 

Mhandisi Sherif El-Erian Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki,na Brigadier Yahya Dabes wanachama wa Bodi ya Kamati ya Olimpiki,na  Mamdouh Al-Shishtawi Mkurugenzi Mtendaji, na Hamdi Hussein na Alaa Mostafa kutoka kamati walikuwepo kwenye mapokezi ya ujumbe katika Uwanja wa ndege wa Kairo.

 

Na ujumbe rasmi kutoka wizara ya vijana na michezo  ulikuwepo kwenye mapokezi ya ujumbe, ulijumuisha Dokta Ahmed Al-Sheikh Mkurugenzi wa Ofisi ya Waziri wa Vijana na Michezo na Jenerali Mohamed Nour Mkurugenzi Mtendaji wa Wizara ya Vijana na Michezo.

Comments