Misri inavunja rekodi tatu katika duru ya michezo ya kiafrika

 Mafanikio  mapya  yafikishwa  na  ujumbe  wa  kimisri  ulioshirikisha  katika  duru  ya  michezo ya  kiafrika  iliyofanyikiwa  nchini  " Morocco "

Baada  ya  kutoa  nafasi  ya  nchi  zinazoshiriki kwa  mujibu  wa  idadi  ya  Medali.

 

 ujumbe  umepata  medali  273 mbalimbali zinagawanywa  kwa medali 102 za kidhahabu  ,98 za  kifedha 98  na 73 za shaba.

 

Na  miongoni  mwa tafauti ya  duru  hii na   duru  zilizopita ambazo  Misri  ilishirikisha nazo ni kuvunja rekodi kadhaa kupitia  idadi  ya  wachezaji  wa  ujumbe  .

Na  nukta  zilizovunjwa  rekodi  zilikuja kupitia  hawa  :-

 

 " Farida  Osman "  Mwogeleaji  mmisri  aliweza  kufikia  nafasi  ya  kwanza  na  kupata  medali  ya  kidhahabu  ya  shindano la  mita 50 kipepeo  baada  ya  kufikia  katika  muda  unaokadiriwa  sekundi  20 na  nusu  ya sekunde  64 .

Na  amehakikisha   rekodi  mpya  ya  kiafrika  iliyosajiliwa  kwa  jina  Lake  katika  duru  hiyo.  Vilevile,  farida  alipata  medali  ya  kidhahabu  katika  shindano  la  mita 100  kipepeo  baada  ya  kuingia  shindano  hili  na  kufikia   muda  mpya  katika   duru  ya  michezo  ya  kiafrika  unaokadiriwa  sekunde  58:79 tu.

 

 karim  Abu  kahla


Aliweza  Mbebaji uzito mmisri  Karim  Abu  Kahla  mchezaji  wa  timu  ya  kubeba  uzito  kuandika  jina  Lake  kwenye  historia  ya  michezo  ya  kiafrika  na  kuvunja  rekodi  ya kiafrika  katika  mashindano  ya  harakati ya kunyakua  na alivunja  rekodi kwa  jina Lake  kupitia  uzito wake wa   164 kilo gramu na  alipata  medali  ya  kidhahabu  .

Na  bingwa  mmisri  aliweza  kupata medali za kidhahabu  za harakati  ya polepole ya bega "Klein" na za  ujumla   katika  mashindano  ya  kubeba  uzito  kwa  uzito  wa  89 kilo gramu  kwenye  ukumbi  wa  " El Nahdaa " mjini  " El Rbat "

 

Na  bingwa  mmisri  alibeba  201 Kilogramu kwa harakati ya  polepole  ,  kwa  ujumla  alibeba  365 kilo gramu   na alivunja  rekodi  tatu  katika  harakati ya kutoa  ,Klein  na ujumla  .

 

Alivunja  rekodi  kwa  duru  iliyopita  pia  aliweza  kuweka  Athari  mpya  katika  michuano ya   mwaka wa   2019 kwenye     

Morocco  kwa  kupata  medali 270 miongoni  mwao  medali 102 za  kidhahabu , 97 za  kifedha  na 69 za  shaba.

Ujumbe  wa  kimisri  umekuja 

Tena baada  ya  miaka  minne katika  duru  ya  mwisho nchini Morocco  ili  kuvunja  rekodi  kuhusu  idadi  ya  medali   na  kuandika  historia  mpya  katika  duru  za  michezo  ya kiafrika kwa  kupata  medali  273.

Comments