Waziri wa vijana na michezo aliikutana na timu ya olimpiki katika kambi Lake huko Kairo .

 Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo amekutana na chombo cha kiufundi kwa uongozi wa kapteni SHAWKI GHARIB , wachezaji wa timu ya olimpiki , uwanjani kwa Kairo , pamoja na jenerali ALI DARWISH rais wa taasisi ya uwanja wa Kairo , Dokta GAMAL MOHAMED ALI  katibu wa rais wa kamati ya mpito shirikisho la soka , na kapteni AHMED ABDELALLH mwanachama wa kamati ya mpito ya shirikisho la soka , kama sehemu ya matayarisho ya mechi ya kirafiki na timu ya olimpiki ya Saudi Arabia , katika kujiandaa na mechi za mwisho za kiafrika kwa olimpiki ya Tokyo 2020 .

 

 SOBHY alielezea wachezaji kuhusu imani yake katika kizazi hiki cha timu na uwezo wake wa kupata mafanikio mazuri , na kushinda katika mechi za fainali za mpito za olimpiki za Tokyo 2020 katika soka chini ya umri wa miaka 23 ambazo zitakuwa huko Misri mwishoni mwa mwaka huo , akisisitiza kwamba vijana wa kizazi hiki wanabeba jukumu la bendera ya wakati ujao wa soka ya kimisri kwani wanaunda timu ya pekee kwa uongozi wa kapteni SHAWKI GHARIB na chombo chake , vilevile akisisitiza kutoa uwezo wote unaohitajika ili kufikia matokeo mazuri .

 

 Waziri huyo aliwataka wa wanachama wa timu ya olimpiki kutumia  juhudi kubwa wakati wa kambi zao na matayarisho yake kwa kuwafurahisha mashabiki ya soka kwa kuzingatia umakini mkubwa unaolipwa na serikali kwa timu za kitaifa , na ambazo zitashiriki katika kikao cha kiolimpiki cha Tokyo 2020 . ambazo ni tukio kubwa zidi duniani katika mwaka ujao , na wizara inatoa uwezo wote wake kwa mashirikisho kadhaa yanayoshiriki katika michezo mbalimbali .

Comments